HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Written kama kamari tu nawaambia watu wananibishia

Written ukijiandaaa sana ndio unafeli


Nishawahi fanya written moja nikiwa nimelewa na sikusomaaa kabisaaa ndio nilifaulu


Written zingine zote nilizowahi zikeshea niliishia kula za uso
Labda written za kwenye computer ila za kuandika kusoma muhim mzee
 
Back
Top Bottom