Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 553
- 653
Kuwa mvumilivu mimi pia kada yangu nilikaa miaka miwili bila received yeyote , lakini mwisho wa siku nilipata received mbili ambazo mpaka saivi zipo pending (Selected for Oral) kila siku nikuchungulia mikeka,.. Trust the process.Dah Sina received hata Moja kusomea ualimu napo jau muda mwingne