John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,224
- 16,367
UlemavuNavipi mkilingana Mark's na mko wengi mlio lingana
Umri
Jinsia
Hvo ndo vtazingatiwa zaidi
UlemavuNavipi mkilingana Mark's na mko wengi mlio lingana
Kwenye accountNina swali, ivi ukiwa placed, kinachoanza ni kwenye status (account) au pdf??...kinachoanza kuonekana yani
Swali zuri, ngoja "PLACED......AS" waje watakujibuNina swali, ivi ukiwa placed, kinachoanza ni kwenye status (account) au pdf??...kinachoanza kuonekana yani
Kuna vigezo huwa wanavitumiaNavipi mkilingana Mark's na mko wengi mlio lingana
Hii noma kumbe watu wanaramba asali kimy kimya halaf pdf ndo zinatafaItakuja, Kuna watu wameshafanyiwa placement kwenye account zao.
Wamefanyiwa Leo??Itakuja, Kuna watu wameshafanyiwa placement kwenye account zao.
Leo IT katuchuniaila leo pdf hamna
Ndio leoWamefanyiwa Leo??
Kwa hyo huwa wanafanya placement kwanza ndio baadae wanatoa pdf ,Itakuja, Kuna watu wameshafanyiwa placement kwenye account zao.
Kada ganiNdio leo
Ndio mtaalam, placement zote zinaanzia kwenye account, barua inakuwa uploaded kwanza. Mkeka ndio unafuata...either siku hiyo hiyo au kesho yake.Kwa hyo huwa wanafanya placement kwanza ndio baadae wanatoa pdf ,
UchumiKada gani
Sawa kaka, hapo inabidi nifatilie sana account yangu kuliko pdf.Ndio mtaalam, placement zote zinaanzia kwenye account, barua inakuwa uploaded kwanza. Mkeka ndio unafuata...either siku hiyo hiyo au kesho yake.
Japo ilitokea siku moja kwa baadhi ya watu placement kwenye account ilifanyika ijumaa na pdf ikatoka jumanne ya wiki iliyofuata
Ndio mida yake au sio😀Jiandaen pdf linakuj soon
Eee, ndo midaNdio mida yake au sio😀
Asante mkuu tumepata kitu hapaNdio mtaalam, placement zote zinaanzia kwenye account, barua inakuwa uploaded kwanza. Mkeka ndio unafuata...either siku hiyo hiyo au kesho yake.
Japo ilitokea siku moja kwa baadhi ya watu placement kwenye account ilifanyika ijumaa na pdf ikatoka jumanne ya wiki iliyofuata
Kwa mfumo wa sasa hivi, account Yako ya portal ndio kila kitu.Sawa kaka, hapo inabidi nifatilie sana account yangu kuliko pdf.
Big up