HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Screenshot_20250608-223136.jpg

☝🏾Nikitaka ku login inaniletea hiyo error
 
App sasa hv Ina changamoto, hata baadhi ya new applications(received )haioneshi kabisa.
Cha muhimu jiamini, kama web inaonesha selected for oral kuwa mvumilivu, incase utapata placement itaonekana hapo.
Tumieni website ndo iko sawa sahivi
App kwa sasa hivi hamna update yoyote. Ukifaulu written hawaandiki selected for oral, pia uki apply haionyeshi received . Kwa hyo tukomae na website tu.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom