HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni hatari asee Oral yangu ya kwanza ambayo nilikuwa na hofu nayo ilikua ya School of law, nmekuja hii ya utumishi Last week nikaingia sina hofu kabisa yaani sina pressure nilicho kutana nacho asee.
hahaha vile walivyogawana maswali na wanapokezana bila kukupa muda wa kuwazua hahaha kupita ni bahati pia
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
 
Hongera usisahau Subaru mkuu....
 
Hongera sana mkuu ukawe mtumish mwema, oral uliganya lin
 
Back
Top Bottom