HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndio mtaalam, kufaulu written kwa marks za juu sio guarantee ya kupata placement. Marks za written zinaishia kwenye hio hatua ya awali(mchujo).
Unaweza pata 98 written afu oral ukaboronga imekula kwako hiyo, afu mwenye 50 written oral akafanya vzr analamba asali. Ila kwa wale wenye practical matokeo ya jumla hujumuisha wastani wa oral+ practical.kama umekuwa selected for oral ni kuanza kujiandaa vyema upya(competition ni kubwa) na kumtanguliza Mungu sana.
 
Aisee 😓
 
Written ni hatua tu ya mchujo. Iwe aptiitude, maswali ya esse au multiple choice, writen ni kwa ajili ya kupunguza watu tu.. ndio maana watu wakiwa wachachhe wanaenda oral moja kwa moja ,
Yan ukifanya written na ukafaulu unakua unaanza upyaaaaa
Kuna ndugu alifanikiwa kuingia serikalini mwaka huu. Kwa madai yake Written alipata 91.5, Oral akaboronga ila akapata kazi kwa sababu ya kufaulu written
 
Kwa sera za utumishi wanaofany written na oral interview kweny placement wanaconsider oral tu maan written inakuwa mchujo tu na ndo maan kunbaadh ya kada uwa wanaitwa oral tu.
Na kwa wale weny written,practical na oral uwa placement wanazingatia wastan wa prac na oral
Hii according na sera zao wenyew
 
Duh 🙄
 
Back
Top Bottom