Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,859
- 25,069
Hautwi Joseph anaitwa JosephatUzi unatembea balaa mambo ni 🔥 📛 kama Joseph gwajima
Hautwi Joseph anaitwa JosephatUzi unatembea balaa mambo ni 🔥 📛 kama Joseph gwajima
Nakuamini mkuu, skuile uliniambia niandae suti ikawa true bana.Sasa app ndio msema kweli kama umefail oral wanakuonesha kabisa
Hahaha sema watu Saizi wabishi sana....Nakuamini mkuu, skuile uliniambia niandae suti ikawa true bana.
Mkuu usiseme watu wabishi, ila wewe unachotaka watu waamini kile kilichotokea kwako kitokee na kwa wote, kitu ambacho ni kwenda kinyume na "human nature". Mfano mdau hapo juu amekwambia yeye amepata placement wakati hiyo app haioneshi kitu, then hata mkuu Jerry001 ile siku anatoa ushuhuda alisema hata yeye alipata placement ikiwa app haioneshi kitu. Sasa hapo ubishi wa watu upo wapi?Hahaha sema watu Saizi wabishi sana....
Majibu yatapatikana kadri tunavyosonga.Hahaha sema watu Saizi wabishi sana....
Mkuu ukiacha hiyo admission officer kuna oral nyingine uli hudhuria huko nyuma unasikilia pdf au hiii ndo imefungua dimba?M
Mkuu nafikiri kuelekeza august mwaka jana walitoa nafasi za kutosha tu za changanyikeni (course zote)..na safari hii naimani watatoa hizo nafasi japo ushindani huwa upo juu.
Sawaaa mkuu typing errorHautwi Joseph anaitwa Josephat
Mwaisa vip hizi za NACTVET umefua dafu mpaka oral mimi niliehindwa kuhudhulia admission quality nilikandwa kwa marks 96Mkuu ukiacha hiyo admission officer kuna oral nyingine uli hudhuria huko nyuma unasikilia pdf au hiii ndo imefungua dimba?
Umeona nimemkosoa mtu mi nazungumzia maana ya status... Pia system zinabadilika tuliza wenge mzee atujuani......Mkuu usiseme watu wabishi, ila wewe unachotaka watu waamini kile kilichotokea kwako kitokee na kwa wote, kitu ambacho ni kwenda kinyume na "human nature". Mfano mdau hapo juu amekwambia yeye amepata placement wakati hiyo app haioneshi kitu, then hata mkuu Jerry001 ile siku anatoa ushuhuda alisema hata yeye alipata placement ikiwa app haioneshi kitu. Sasa hapo ubishi wa watu upo wapi?
Alafu app yenyewe ilikua under maintenance kwa mda Mrefu,so wasifananishe ilivyokua inafanya kazi mwaka juzi na mwaka huuMkuu usiseme watu wabishi, ila wewe unachotaka watu waamini kile kilichotokea kwako kitokee na kwa wote, kitu ambacho ni kwenda kinyume na "human nature". Mfano mdau hapo juu amekwambia yeye amepata placement wakati hiyo app haioneshi kitu, then hata mkuu Jerry001 ile siku anatoa ushuhuda alisema hata yeye alipata placement ikiwa app haioneshi kitu. Sasa hapo ubishi wa watu upo wapi?
Sawa mkuu nakushukuru 🙌Umeona nimemkosoa mtu mi nazungumzia maana ya status... Pia system zinabadilika tuliza wenge mzee atujuani......
Yah na kuna mdau alishawahi kusema kwenye app haioneshi kitu. Anyway tuyaache mkuu maana nimejaribu kumuelewesha nimeishia kuambiwa nitulize wenge!Alafu app yenyewe ilikua under maintenance kwa mda Mrefu,so wasifananishe ilivyokua inafanya kazi mwaka juzi na mwaka huu
Leo tumepigwa chenga ya mwiliPdf mapema sana limeshiba leo
Acha kudanganya watu.Hahahaha 🤣 🤣 mama Jeni bye bye
Just kidding....
Kwenye app ukikuta kuna selected for oral unalamba asali ila ukikuta not selected umeyaaga mashindano
Nilikula NOT SELECTEDMwaisa vip hizi za NACTVET umefua dafu mpaka oral mimi niliehindwa kuhudhulia admission quality nilikandwa kwa marks 96
Mkuu nina oral 1 nyingine jumla nnazo 2 zinazosubiria.Mkuu ukiacha hiyo admission officer kuna oral nyingine uli hudhuria huko nyuma unasikilia pdf au hiii ndo imefungua dimba?
Zote mbili mwaisa sema quality assurance ilikua kitonga sana aisee hata kama mtu hajasoma 50+ must japo wapo walofail lkn ilikua majibu ni humu tu nilipata marks za juu kasoro mbili nikaona hata admission itkuwa ivyo ivyo nikajikataaNilikula NOT SELECTED
basi nikuendelea na mapambano
hakuna namna
Hapa umenena mkuu ata Mimi nakumbuka Oral yangu niliulizwa maswali 5 Kuna swali Moja nilikuwa sijui chochote lakini moyoni nikasema nisikae kimya nikajibu kwa ninachojua Mimi hatimae mkeka wa kwanza, wapili jina hili hapaKwenye oral jitahidi ujibu kila swali ,jitahidi uoneshe hata idea kidogo tu ya ulichoulizwa , Mara nyingine inatokea wanaouliza kwenye interview hawana ujuzi na hiyo taluma unakuta anayejua mmoj nk, jitahidi uoneshe idea kidogo,,, usipojua hakuna huruma hata kama ni mmoja wanataka 3 hutoboi