HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu kwenye zile stick 5 za moto kwenye oral ngapi zilikupa shida?.... Naimani probability ya kupita kwako ni kubwa Mungu akusimamie
Kusema ukweli Oral interview ilikuwa nyepes sema kadiri muda unavyosogea wasiwasi nao unaanza maana nafasi za kazi ziliku 120+ lakini tuliofanya Oral interview tuliitwa 411
 
usijikatie tamaa mkuu ...maana haujuo hao waliobaki walifanya vipi interview mkuu....wote huwa tunahangaika hivo ..

Imagine sisi swali la 1 na 2 yalikuwa magumu kwahiyo matatu kidogo afadhari lakini tupo optimistic...Mungu atafanya njia
 
Kusema ukweli Oral interview ilikuwa nyepes sema kadiri muda unavyosogea wasiwasi nao unaanza maana nafasi za kazi ziliku 120+ lakini tuliofanya Oral interview tuliitwa 411
Nyingi sana hizo nafasi, hapo watu watatu mnapigania nafasi moja una nafasi ya kufanikiwa kama ulijitahidi kujibu maswali yote
 
Oral interview ilikuwa tareh 10 mwezi huu na Maswali yote yalikuwa yanaeleweka.

Na nilivyotoka kwenye interview nilikuwa na furaha lakini kadiri muda unavyosogea wasiwasi nao unapamba moto
 
M

Mkuu nafikiri kuelekeza august mwaka jana walitoa nafasi za kutosha tu za changanyikeni (course zote)..na safari hii naimani watatoa hizo nafasi japo ushindani huwa upo juu.
Nmemaliza mwaka Jana pia, vyeti vimetoka November hivo skua na access ya kuomba nipo nasubiria

Kuhusu ushindani najua ni mkubwa hivo ntajiandaa vya kutosha angalau ninuse oral tu uko kwengne namuachia Mungu
 
Oral interview ilikuwa tareh 10 mwezi huu na Maswali yote yalikuwa yanaeleweka.

Na nilivyotoka kwenye interview nilikuwa na furaha lakini kadiri muda unavyosogea wasiwasi nao unapamba moto
Hiyo ni kawaida mkuu, inafikia hatua utaona kama ulikosea hadi ulichojibu hasa PDF zikitoka na hujioni, ila usiogope mkuu kuwa na imani ulifanya vizuri
 
Back
Top Bottom