Vizur sana hongera mkuu ulipambana sana yule dem wako lazima atakutafuta akisikia taarifa hiiKwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Yaan acha tu,AmenMimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.
Mungu atutangue tulambe asali mwaka huu.
Amen, tunaamini Mungu atatuvusha ktk hiliMimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.
Mungu atutangulie tulambe asali mwaka huu.
Asanteh Sana Mkuu🙏🙏Hongera mkuu ukawe Mtumishi Mtumishi mwema, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
Tutavuka salamaYaan acha tu,Amen
Shukrani sana Mkuu Naamini nanyi zamu yenu yaja soon mtaingia kundini🙏🙏Dah! Mkuu Jumah JR ni jana tu tulikuwa tunapeana moyo kuhusu kuwa na imani na subira, hatimaye leo imetimia. Hongera sana ndugu yetu, nasi tupo njiani tunaamini siku moja tutaingia huko
Na iwe hivyo mkuu. Tunafarijika sana kwa wenzetu mlioingia kundiniShukrani sana Mkuu Naamini nanyi zamu yenu yaja soon mtaingia kundini🙏🙏
Shukrani Kaka 🙏🙏🙏Congratulations 🎉 RMA🫡🫡
Mkuu kilo mbili zilipungua sababu ya kusubiri placement dah!! 😅😅Mimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.
Mungu atutangulie tulambe asali mwaka huu.
Ulijuaje mkuu daah aliniacha kisa muhuni Niko broken mtaan kipato kinatoshea kula tuu😅😅Vizur sana hongera mkuu ulipambana sana yule dem wako lazima atakutafuta akisikia taarifa hii
Haitapita week mkuu utajiona kweny mkekaNa iwe hivyo mkuu. Tunafarijika sana kwa wenzetu mlioingia kundini
Ameeen! Utabiri wako ukatimie mkuu kwa uweza wa MunguHaitapita week mkuu utajiona kweny mkeka
Kweli hii ni dawa ya kupunguza unene hamn haja ya mazoezi😀😀😀Mkuu kilo mbili zilipungua sababu ya kusubiri placement dah!! 😅😅
Huwezi amini mpk sasa nina selected for oral tatu lakini sijiamini kabisa 😀😀😀😀Mkuu kilo mbili zilipungua sababu ya kusubiri placement dah!! 😅😅
🤣🤣🤣🤣tena kusubilia mkeka ndo mistress ya kutoshaMimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.
Mungu atutangulie tulambe asali mwaka huu.
🤔🤔Huwezi amini mpk sasa nina selected for oral tatu lakini sijiamini kabisa 😀😀😀😀
Inshaallah kaka 🤲Ameeen! Utabiri wako ukatimie mkuu kwa uweza wa Mungu
Watu Hadi wanapata vodonda vya tumbo kisa Kusubiri placementInshaallah kaka 🤲