Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Hivi hawa psrs huwa wanawasilisha matokeo ya oral kwa wakubwa zao au wanayabwaga tu kwenye dustbin, kisha kuajiri kwa utashi wao?.
Nasema hivi kwa sababu huwa hawachapishi matokeo ya oral tofauti na written au practical.
Nasema hivi kwa sababu huwa hawachapishi matokeo ya oral tofauti na written au practical.