HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.

Mungu atutangulie tulambe asali mwaka huu.
ila stress ya kusubiri placement ni balaa maana hii inakufilisi coz inakudrive kila siku uwe na bando..
 
ila stress ya kusubiri placement ni balaa maana hii inakufilisi coz inakudrive kila siku uwe na bando..
Kweli kaka , gharama za mabando ni kubwa sana .. inabidi serikali inaturudishie gharama za mabando yetu tukipata placement.

Kuna muda mpk unatafta WIFI za kitonga zilipo😀 ili u zoom mikeka
 
ndugu yangu yaani vitu nilivyoteza muda kusoma hawajagusa hata moja.Yaani unaruka kulia wenyewe wanapiga kushoto unaskia tu mashabiki wanashangilia..
Pole mkuu ..naimani ulisema lolote kuongeza uwezekano...... Mimi maswali nimetuma hapo pia mawili ya kwanza yalikuwa magumu sikujiandaa nayo angalau matatu ya mwishon yalikuwa normal nikayapiga vzuri sana
 
yaah nilifurukuta kiaina sikukubali kufa kizembe japo loba ilikua ya mbao..
 
yaah nilifurukuta kiaina sikukubali kufa kizembe japo loba ilikua ya mbao..
Mkuu kwangu pia point 3 zilikuwa zinakuka ila hizo 2 kwa mbinde....

Hahahaha ukiwa mle ndani point 5 ni nyingi sana sana...hasa kwa vitu ambavyo hukupitia
 
Sikushauri, bora usubiri pdf. Me ilinitesa sana hii njia ya kuanza kuangalia account before pdf unajikuta kila dakika upo account ngoma inasema selected for oral
🤣🤣Kwa mfano waliofanya za MDAs AND LGAs, nawenyewe placement as.....inakaaa apo kwenye MDA au wana upload taasis uliyopangiwa ndio wanaweka....??
 
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
 
Sikushauri, bora usubiri pdf. Me ilinitesa sana hii njia ya kuanza kuangalia account before pdf unajikuta kila dakika upo account ngoma inasema selected for oral
Sio lazima uingie kwenye account kila muda, Huko ni kupoteza muda. Unaweza ukaingia twice a day, unacheki asubuhi na jioni inatosha kabisa. Muda mwingine focus na mambo Yako mengine.
 
Back
Top Bottom