HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila kwa maswali hayo naamini wote 45 waliofila oral watafika alama ata za kukaa database
Sina hakika kama mtu alikuwa serius atakosa ata 50% ya kumfikisha databse
Yah hapo database wapo wa kutosha.
Ingekuwa n written hapo ndo ile unakuta wanachukua mtu kuanzia 99% 😂
 
Sasa Mkuu unacheka nini? Nimepata taarifa juzi umepokea mgeni kutoka Mwanza.

Anasema ulimfata na gari Magufuli, ulikuwa wengi kwenye gari akakuuliza na Hawa pia ni Wana JF 😂.

Joking Brother upo Mkuu, ongea na IT atingishe mbuyu 😂
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Nilikwambia kak hongera SANA lilikuwa swala la muda tu
 
Congratulations 🎉 RMA🫡🫡
 
Back
Top Bottom