Jumah JR
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 378
- 701
Mkuu Utumishi washatoa Update ya vituo vya usaili wenu mida hii naona mnafanya kikandaWakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka