HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
jamani mm nimekata tamaa na utumishi...

Kilanikigusa ushindani unanitoa.
Mitihani yote juu ya 80 lakini sijawahi fika oral hahahaha ....quality assurance huko kwa moto sana hahahahaha
 
watu 2000 sio mchezo kaka kutoboa ni shuguli.kama uliomba na ya OSHA we hudhuria tu huwezi jua..
Ni kweli mkuu sema Mimi nimeumia maana nipo karibu sana na pale walipokata kaka hatua 4 tu ningeenda .oral...

Pia shukrani nitahudhuria na hiyo ya OSHA nione mambo yataendaje
 
Ni kweli mkuu sema Mimi nimeumia maana nipo karibu sana na pale walipokata kaka hatua 4 tu ningeenda .oral...

Pia shukrani nitahudhuria na hiyo ya OSHA nione mambo yataendaje
udhuria hii ya osha angalau ina watu 700
 
Back
Top Bottom