John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,224
- 16,365
Irizi muhmu🤣🤣🤣🤣mara pap linaanguka irizi lako pale pa kukaguliwa vyeti
Irizi muhmu🤣🤣🤣🤣mara pap linaanguka irizi lako pale pa kukaguliwa vyeti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mara pap linaanguka irizi lako pale pa kukaguliwa vyeti
ikianguka wakati wa kukagua vyeti unapiwa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW hapohapo...🤣🤣🤣🤣mara pap linaanguka irizi lako pale pa kukaguliwa vyeti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka ad sio poa nyiee,wacha nicheke nisahau upanga wa leoikianguka wakati wa kukagua vyeti unapiwa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW hapohapo...
Haifanyi kazi iyo mkuu😂😂zaid itakuabisha mbele za watu kule,na usiombe siku hyo kuna askari wale wana vimqshine vyao vile wanakupitishia pitishia mwilini mara ilizi linapiga kelele weee baba umeumbuka🤣🤣🤣🤣🤣Irizi muhmu
Ninavyoelewa hauwezi kukitoa cheti kwenye mfumo bali unaweza ku replace mfano unatoa chenye mapungufu na kuweka kilichokamilikaWakuu bila shaka mnaendelea vizuri katika kupambania kupata Check Number.
Naomba msaada namna ya kuondoka CHETI cha Taaluma kwenye mfumo wa kutuma maombi Utumishi (ajira portal)
Duuh itakuwa wengi mmefungana sana hilo pepaYan mtu ana 97 na anakuwa NOT SELECTED? Kweli hii nchi ni ngumu jaman
Itabaki hivyo hivyo selected for oral,pia ni vyema kuendelea kufanya usaili wa post mbalimbali za kada yako Ili kujiongezea WiGo mkubwa wa kupangiwa kituo Cha kazi,maana mtu unaweza kuwa ulifika oral lakini hukupata zile marks za kuwekwa kwenye database au unapata marks za kuwepo kwenye database lakini unakuta wapo walio kuzidi marks Soo wataanza wao kupangiwa kwanza then ikipatikana nafasi na wewe utapangiwa,kikubwa ni kumuomba mungu tu ndugu yangu maana haya mambo ni fumboNdugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au laah, alafu ikitokea umekaa kwenye database zaidi ya mwaka mmoja na ushakua expired kuitwa status ile iliyoandikwagwa selected for oral uwa inabadilikaga nayo au inaendelea tu kuwepo selected for oral?
Khasanteni
Mkuu database wanasema mwaka lakini inakaa zaidi ya mwaka shida hapo kuwafanyisha watu interview upya wakati Kuna watu wako database bado kunawatu wamefanya MDAs mwezi wa tano ila mwezi huu wamepigiwa simu kutoka halmashauri walizofanya mwaka Jana kuuliza Kama wamepata kazi nakuwaambia waendelee kufatilia mikeka hapo unaona kabisa kule MDAs wamepoteza muda na pesa for nothing hawa utumishi nikuendelea kufanya interview mpaka utakapoona jina kwenye mkekaNdugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au laah, alafu ikitokea umekaa kwenye database zaidi ya mwaka mmoja na ushakua expired kuitwa status ile iliyoandikwagwa selected for oral uwa inabadilikaga nayo au inaendelea tu kuwepo selected for oral?
Khasanteni
Ndugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au laah, alafu ikitokea umekaa kwenye database zaidi ya mwaka mmoja na ushakua expired kuitwa status ile iliyoandikwagwa selected for oral uwa inabadilikaga nayo au inaendelea tu kuwepo selected for oral?1. Hiyo ya kwanza ya SELECTED FOR ORAL Andaa suti mkuu hongera mtumishi mpya..... Leta ushuhuda apo una uhakika
2.Hiyo ya pili ni kwamba hukuchaguliwa kufanya interview either ulikosea kitu na kama ulifanya mpaka kufika oral ujue kwenye oral ulikula ndoige aka mama Jeni bye bye
Mungu wa wote pia humu ndani kuna watu wanamaindi unajua bora ukweli mchungu kuliko hope isiyokuwepo pia humu hakuna mtu anamjua mtu sipati faida yoyote ya kuongea uongo au kukuombea mabaya
Tunaelekezana mambo yanavyokuwa unataka nikwambie kitu cha uongo ili iweje
Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati kuna ukweli ambao utakujenga
Mimi binafsi yote nimepitia
SELECTED FOR ORAL na NOT SELECTED for oral, natamani ningepata mtu wa kuniambia ukweli kuliko unakuwa na hope ya uongo badala ya kufanya juhudi ufanikiwe uvuke unasubiri kitu amna
Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya
Unafiki kitu kibaya
Kwanza kabisa nafasi yoyote ikitokea wew inabidi uomhe maana huwezi jua labda kwenye oral inawezekana hukupata marks 50 ambazo zinakuweka database.Ndugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au laah, alafu ikitokea umekaa kwenye database zaidi ya mwaka mmoja na ushakua expired kuitwa status ile iliyoandikwagwa selected for oral uwa inabadilikaga nayo au inaendelea tu kuwepo selected for oral?
AsanteKwanza kabisa nafasi yoyote ikitokea wew inabidi uomhe maana huwezi jua labda kwenye oral inawezekana hukupata marks 50 ambazo zinakuweka database.
Kwa hyo ukiona zimetangazwa ujue tu kuwa database hamna mtu wakumchukua kwa hyo wanalazimika wazitangaze nafasi tena kwa hyo kada( maana kama kuna mtu database hawawezi kufanyisha usaili mwingine maana usaili ni gharama)
Pia ile status huwa ipo tu haibadiliki hata baads ya miaka kumi( haijalishi uko database au ulifeli oral ile status ipo tu)
Pia hamna cha database ku expire .. maana kwa experince yangu ya kufatilia mikeka na pdf za za humu kuna watu wameitwa kupititia database hata baada ya miaka miwili au mitatu( hapo inategemeana na uhitaji wao na utashi wao)
Kwa hyo kama unaamini ulifanya vizuri kwenye oral wewe subiri tu utaitwa muda wowote ule.
APo inabidi ujiandae kwa ajili ya kupata 100 zote ndo utapenya 🤣🤣Yan mtu ana 97 na anakuwa NOT SELECTED? Kweli hii nchi ni ngumu jaman
Watu wanakamia Sana l.... nowdays ukiona Pepa jepes kaza Zaid Mana na wenzio wanaona jepes pia sio unasubmit bado dakika 15 kwenye OAT 😂😂Apo
APo inabidi ujiandae kwa ajili ya kupata 100 zote ndo utapenya 🤣🤣
Paper nyepesi naoga zinakujaga kuwa na matokeo machungu many times, sizipendii.😐Watu wanakamia Sana l.... nowdays ukiona Pepa jepes kaza Zaid Mana na wenzio wanaona jepes pia sio unasubmit bado dakika 15 kwenye OAT 😂😂
Kweli ukiona pepa nyepesi hiyo ni red flag .. NOT SELECTED FOR ORAL inakuwa karibuPaper nyepesi naoga zinakujaga kuwa na matokeo machungu many times, sizipendii.😐