Ndio kilichotokea kwenye QUALITY ASSURANCE...mpk mtu wa 500 ana 96 isingewezekana kuita oral watu 600Kweli ukiona pepa nyepesi hiyo ni red flag .. NOT SELECTED FOR ORAL inakuwa karibu
Ndio kilichotokea kwenye QUALITY ASSURANCE...mpk mtu wa 500 ana 96 isingewezekana kuita oral watu 600Kweli ukiona pepa nyepesi hiyo ni red flag .. NOT SELECTED FOR ORAL inakuwa karibu
Vipi Vituo vya kufanyia washawapangia ??Asante mkuu na pole pia aiseh....tujiandae na admission tuone uelekeo utakuwaje kuwaje.....naimani tutaenda oral mkuu.
jamaa wanazishusha kama mvuaPDF zimerudi hamna shuhuda wakuuu
Wameanza na pdf 2 za kichoyo sana sema hii week zitashuka kam mvuajamaa wanazishusha kama mvua
Pdf za kichoyo mkuumkiona jina langu huko niambieni maana sio kwa huu mpdf mrefu kama reli ya sgr
PDF moja wamefanya kuivunja kaka daah!!mkiona jina langu huko niambieni maana sio kwa huu mpdf mrefu kama reli ya sgr
Ikoje kakaPDF moja wamefanya kuivunja kaka daah!!
Moja Ina taasisi 2 nyengine Ina taasisi 6Ikoje kaka
Ndo wameanza hivoo, kesho.zingine watatoaMoja Ina taasisi 2 nyengine Ina taasisi 6
Tuendelee kumuomba munguMoja Ina taasisi 2 nyengine Ina taasisi 6
Ngoja tuendelee kuwa wavumilivu 🙏Ndo wameanza hivoo, kesho.zingine watatoa
Huu mwezi nasi tutakumbukwaTuendelee kumuomba mungu
Yeah, kuanzia July 1, watu wanaanza kureport kaznHuu mwezi nasi tutakumbukwa
Watu wanakamia Sana l.... nowdays ukiona Pepa jepes kaza Zaid Mana na wenzio wanaona jepes pia sio unasubmit bado dakika 15 kwenye OAT 😂😂
Apo cha kufanya ni omba mizimu yote ya kwenu upate 100 tuone watkuacha kwa kigezo gn🤣🤣Ndio kilichotokea kwenye QUALITY ASSURANCE...mpk mtu wa 500 ana 96 isingewezekana kuita oral watu 600