HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Basi apo itakuwa kwao wenyew Psrs kwa waliofanya interview mwisho wa mwezi huu maan mimi nimelogin tu kweny app leo ndo nimekuta ipo SELECTED FOR ORAL

Ambayo ipo blank ni ingin nilifany juzi apo tareh 31 sema ni NOT SELECTED FOR PRACTICAL kwwny web na ukichek kweny app ndo ipo blank
Unaona ukila ndoige mara nyingi inakuwa tofauti ukifaulu oral inakuwa selected for oral both app and web

Sema watu awapendi ukweli.......
 
Back
Top Bottom