saemonity
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 166
- 261
Na waliofanya oral MAY mwanzoni?.ulitaka mwezi wa ngapi?. Budget yako huko kazini ni ya mwaka 2025/2026. Julai 1 mpaka june 30
Na waliofanya oral MAY mwanzoni?.ulitaka mwezi wa ngapi?. Budget yako huko kazini ni ya mwaka 2025/2026. Julai 1 mpaka june 30
hesabu idadi ya maswali utakayoulizwa chini ya mia.Hizo marks wanazitoaje? Jibu moja lina marks ngapi?
watasubiri mwezi wa saba. waki report kazini watafanyiwa check up na vyeti kwenda kukaguliwa kama sio fake then wataitwa mwezi wa saba waanze kaziKwa hiyo watakaopata Placement mwezi wa sita nao wanasubiri bajeti mpya ya serikali ?
Mkuu naomba kujua kwenye app ikisoma selected for oral interview inachukua muda gani kupata replacement1. Hiyo ya kwanza ya SELECTED FOR ORAL Andaa suti mkuu hongera mtumishi mpya..... Leta ushuhuda apo una uhakika
2.Hiyo ya pili ni kwamba hukuchaguliwa kufanya interview either ulikosea kitu na kama ulifanya mpaka kufika oral ujue kwenye oral ulikula ndoige aka mama Jeni bye bye
Mungu wa wote pia humu ndani kuna watu wanamaindi unajua bora ukweli mchungu kuliko hope isiyokuwepo pia humu hakuna mtu anamjua mtu sipati faida yoyote ya kuongea uongo au kukuombea mabaya
Tunaelekezana mambo yanavyokuwa unataka nikwambie kitu cha uongo ili iweje
Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati kuna ukweli ambao utakujenga
Mimi binafsi yote nimepitia
SELECTED FOR ORAL na NOT SELECTED for oral, natamani ningepata mtu wa kuniambia ukweli kuliko unakuwa na hope ya uongo badala ya kufanya juhudi ufanikiwe uvuke unasubiri kitu amna
Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya
Unafiki kitu kibaya
Apo kuna mawili unaweza kuitwa na taasisi uliyofanyia interview au ukatolewa data base kutokana na ufaulu wako nafasi ikipatikanaMkuu naomba kujua kwenye app ikisoma selected for oral interview inachukua muda gani kupata replacement
Asante SanaApo kuna mawili unaweza kuitwa na taasisi uliyofanyia interview au ukatolewa data base kutokana na ufaulu wako nafasi ikipatikana
Mara nyingi huchukua mwezi 1-4..
Lakini sheria za utumishi data base inakaa mpaka mwaka mzima maana miezi 12 toka siku ulipo fanya oral....
Tuko pamoja pia naamini utavuka salama kwenye hichi kipindi mtegemee Mungu yeye ndiye anayejua kesho yetu....Asante Sana
AminaTuko pamoja pia naamini utavuka salama kwenye hichi kipindi mtegemee Mungu yeye ndiye anayejua kesho yetu....
Replacement ya nini kiongozi ?Mkuu naomba kujua kwenye app ikisoma selected for oral interview inachukua muda gani kupata replacement
Nadhani alimaanisha Placement 😁Replacement ya nini kiongozi ?
Wamepoaa kama maji kwenye mtungi.Leo psrs wamepoa sana. Watakuwa wanatengeneza pdf za waliolamba asali. Andaeni suti kabisa.
Kimya chao kitakuwa na kishindo kikubwa!!. Taasisi zinahitaji new hire mapema iwezekanavyo😁Wamepoaa kama maji kwenye mtungi.
Hata hawajali hiloo it seems.😅Kimya chao kitakuwa na kishindo kikubwa!!. Taasisi zinahitaji new hire mapema iwezekanavyo😁
Wiki hii shuhuda za zitakuwa nyingi sanaKimya chao kitakuwa na kishindo kikubwa!!. Taasisi zinahitaji new hire mapema iwezekanavyo😁
Mi naona na hii inapita mzee.Wiki hii shuhuda za zitakuwa nyingi sana
HIi haipiti, pdf zinatoka kwa fujoMi naona na hii inapita mzee.
Tuendelee kujivukizaWiki hii shuhuda za zitakuwa nyingi sana