HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu Champion number one uliiona hii post ya mkuu Jerry001 ? Tunaomba ufafanuzi kidogo kama unafahamu lolote kwa kilichomtokea ndugu yetu
Mkuu apa sina utaalam au sijui chochote juu ya hili , mi nazungumzia kwa watu ambao status zimesoma kote kwenye app na web....

Na maana zake ndio naelewa.....

Pia naweza kusema kama mwenzenu kapata placement na nyie subirini ila sijui jambo hilo...

Na siwezi danganya.
 
Watu wa humu sijui mna matatizo gani ya akili, mnaibuka na kauli zenu za uwe selected for oral kwenye both web na app afu mkiambiwa leteni screenshot zinazoonyesha Huo utofauti Kuwa upo selected kwenye web afu kwenye app n not selected hamleti.

Em Acheni huo upumbavu wenu bhana, yn utumishi n kwamba hawana akili timamu mpaka waweke matokeo tofauti ya mtu mmoja kwenye web na app?
 
utumishi interview za nini sasa si mtuchukue tu kama kazi tutakuja kujifunziz hukohuko..
Binafsi naona interview zimetoa rare access hata kwa wale ambao hawana wa kuwashika mkono. Hususani kwenye vitengo adimu kama vile mashirika ya umma ya NBS, TSN, na hata vyuo, mbali na Tamisemi.
 
Binafsi naona interview zimetoa rare access hata kwa wale ambao hawana wa kuwashika mkono. Hususani kwenye vitengo adimu kama vile mashirika ya umma ya NBS, TSN, na hata vyuo, mbali na Tamisemi.
ni sawa tu. ila wazo langu ni kwamba kwenye kada zingine wangetupitisha tu maana kupita kwenye usahili imeshakua mtihahi kama ni kazi tutaelekezana tuu..
 
Mkuu kwanza Hongera
Pili ulichofanya ni kitu kizuri sana.
Umebeba positive energy mnoo!

Yaani umesimama kwenye upande wa kutia moyo na wala sio kuvunja watu moyo. Tofauti na hoyo mwingine!

Mkuu nakuombea majukumu mema katika utumishi wa umma.

Mungu akubariki Sana, Mimi Nina oral wiki hii inayoanza Kesho!

I believe nitakuja na ushuhuda!

Toka ufanye oral mpaka kuitwa kazini, kwako wewe ilichukua muda Gani?
3 to 4 months.
 
Back
Top Bottom