HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Majina kwenye mkeka yapo kama kawaida na kwenye app unapata barua. Kwa mfano Mimi nilianza kuona barua kwenye acc ndio nikaja kuona jina kwenye mkeka wa jumla. Ila kitendo cha kuona barua asikwambie mtu kilinipagawisha kinoma noma. Sikuamini macho yangu nilichokuwa nakiona kwa muda huo.
Mkuu kwanza Hongera
Pili ulichofanya ni kitu kizuri sana.
Umebeba positive energy mnoo!

Yaani umesimama kwenye upande wa kutia moyo na wala sio kuvunja watu moyo. Tofauti na hoyo mwingine!

Mkuu nakuombea majukumu mema katika utumishi wa umma.

Mungu akubariki Sana, Mimi Nina oral wiki hii inayoanza Kesho!

I believe nitakuja na ushuhuda!

Toka ufanye oral mpaka kuitwa kazini, kwako wewe ilichukua muda Gani?
 
Mfano nikifaulu Oral Interview keshokitwa tarehe 10, nitarajie post lini?
Mkuu kwanza Hongera
Pili ulichofanya ni kitu kizuri sana.
Umebeba positive energy mnoo!

Yaani umesimama kwenye upande wa kutia moyo na wala sio kuvunja watu moyo. Tofauti na hoyo mwingine!

Mkuu nakuombea majukumu mema katika utumishi wa umma.

Mungu akubariki Sana, Mimi Nina oral wiki hii inayoanza Kesho!

I believe nitakuja na ushuhuda!

Toka ufanye oral mpaka kuitwa kazini, kwako wewe ilichukua muda Gani?
☝🏾
 
Niambie na hii inamanisha nini? NOT SHORTLISTED
1. Hiyo ya kwanza ya SELECTED FOR ORAL Andaa suti mkuu hongera mtumishi mpya..... Leta ushuhuda apo una uhakika

2.Hiyo ya pili ni kwamba hukuchaguliwa kufanya interview either ulikosea kitu na kama ulifanya mpaka kufika oral ujue kwenye oral ulikula ndoige aka mama Jeni bye bye

Mungu wa wote pia humu ndani kuna watu wanamaindi unajua bora ukweli mchungu kuliko hope isiyokuwepo pia humu hakuna mtu anamjua mtu sipati faida yoyote ya kuongea uongo au kukuombea mabaya

Tunaelekezana mambo yanavyokuwa unataka nikwambie kitu cha uongo ili iweje

Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati kuna ukweli ambao utakujenga

Mimi binafsi yote nimepitia
SELECTED FOR ORAL na NOT SELECTED for oral, natamani ningepata mtu wa kuniambia ukweli kuliko unakuwa na hope ya uongo badala ya kufanya juhudi ufanikiwe uvuke unasubiri kitu amna

Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya

Unafiki kitu kibaya
 
Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati ni maamuzi

Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya

Unafiki kitu kibaya
Mkuu kwenye app Huwa inakuwa updated baada ya muda gani ukifanya oral interview
 
1. Hiyo ya kwanza ya SELECTED FOR ORAL Andaa suti mkuu hongera mtumishi mpya..... Leta ushuhuda apo una uhakika

2.Hiyo ya pili ni kwamba hukuchaguliwa kufanya interview either ulikosea kitu na kama ulifanya mpaka kufika oral ujue kwenye oral ulikula ndoige aka mama Jeni bye bye

Mungu wa wote pia humu ndani kuna watu wanamaindi unajua bora ukweli mchungu kuliko hope isiyokuwepo pia humu hakuna mtu anamjua mtu sipati faida yoyote ya kuongea uongo au kukuombea mabaya

Tunaelekezana mambo yanavyokuwa unataka nikwambie kitu cha uongo ili iweje

Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati kuna ukweli ambao utakujenga

Mimi binafsi yote nimepitia
SELECTED FOR ORAL na NOT SELECTED for oral, natamani ningepata mtu wa kuniambia ukweli kuliko unakuwa na hope ya uongo badala ya kufanya juhudi ufanikiwe uvuke unasubiri kitu amna

Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya

Unafiki kitu kibaya
Hiyo ya kwanza mwenye akaunti alifika mpaka Oral anasubiri Majibu.
Hiyo ya pili hakuitwa hata written maana hakua ame certify vyeti vya CSE
 
Attachments

  • IMG-20250608-WA0011.jpg
    IMG-20250608-WA0011.jpg
    39.6 KB · Views: 25
1. Hiyo ya kwanza ya SELECTED FOR ORAL Andaa suti mkuu hongera mtumishi mpya..... Leta ushuhuda apo una uhakika

2.Hiyo ya pili ni kwamba hukuchaguliwa kufanya interview either ulikosea kitu na kama ulifanya mpaka kufika oral ujue kwenye oral ulikula ndoige aka mama Jeni bye bye

Mungu wa wote pia humu ndani kuna watu wanamaindi unajua bora ukweli mchungu kuliko hope isiyokuwepo pia humu hakuna mtu anamjua mtu sipati faida yoyote ya kuongea uongo au kukuombea mabaya

Tunaelekezana mambo yanavyokuwa unataka nikwambie kitu cha uongo ili iweje

Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati kuna ukweli ambao utakujenga

Mimi binafsi yote nimepitia
SELECTED FOR ORAL na NOT SELECTED for oral, natamani ningepata mtu wa kuniambia ukweli kuliko unakuwa na hope ya uongo badala ya kufanya juhudi ufanikiwe uvuke unasubiri kitu amna

Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya

Unafiki kitu kibaya
TAWIRE TAWIRE!
VAMOOS!
 
Back
Top Bottom