Jumah JR
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 379
- 702
Aisee Jaribu kuwacheki mkuu nikajua ni bado SanaLeo ni tarehe 08, Oral Interview ni tarehe 10. Tutasafiri lini🥺
Aisee Jaribu kuwacheki mkuu nikajua ni bado SanaLeo ni tarehe 08, Oral Interview ni tarehe 10. Tutasafiri lini🥺
NdiyoAisee Jaribu kuwacheki mkuu nikajua ni bado Sana
Jamaa hawapokei simu tangu juzi, namba yao ni hii: +255262963652Aisee Jaribu kuwacheki mkuu nikajua ni bado Sana
By now Apllication status inasoma Placed as.............................. na chini kuna link ya ku print barua ya Placement.Umepata placement status inasemaje web na app
Kwahiyo siku hizi siyo lazima kufuata Barua Dodoma kama unaweza uka download kupitia ajira portal?By now Apllication status inasoma Placed as.............................. na chini kuna link ya ku print barua ya Placement.
Na ningekuwa mnoko ningekwambia hadi trh ambayo mkeka wenye jina langu ulitoka, ila kwa leo itoshe kusema hao wadau ni waongo. aluta continua.
Mimi barua yangu inanitaka nifike Dodoma ilipo ofisi ya mwajiri wangu.Kwahiyo siku hizi siyo lazima kufuata Barua Dodoma?
let's say ofisi ya muajiri wako ingekuwa Kigoma, kusingekuwa na haja ya kwenda Dodoma?Mimi barua yangu inanitaka nifike Dodoma ilipo ofisi ya mwajiri wangu.
Nikitumia barua ya wito wangu kama reference, naweza kusema hakuja haja. Kumbuka zamani watu walikuwa wanaona tu majina kwenye ule mkeka wa jumla ila barua za Utumishi walikuwa wanazifuata Dodoma, wakati siku hizi barua unaipata moja kwa moja kwenye acc yako.L
let's say ofisi ya muajiri wako ingekuwa Kigoma, kusingekuwa na haja ya kwenda Dodoma?
Okay. Samahani, Siku hizi hawachapishi majina kwenye mkeka wa jumla?Nikitumia barua ya wito wangu kama reference, naweza kusema hakuja haja. Kumbuka zamani watu walikuwa wanaona tu majina kwenye ule mkeka wa jumla ila barua za Utumishi walikuwa wanazifuata Dodoma, wakati siku hizi barua unaipata moja kwa moja kwenye acc yako.
Kwahiyo siku hizi siyo lazima kufuata Barua Dodoma kama unaweza uka download kupitia ajira
Majina kuyaona ni kama kawaidaOkay. Samahani, Siku hizi hawachapishi majina kwenye mkeka wa jumla?
Majina kwenye mkeka yapo kama kawaida na kwenye app unapata barua. Kwa mfano Mimi nilianza kuona barua kwenye acc ndio nikaja kuona jina kwenye mkeka wa jumla. Ila kitendo cha kuona barua asikwambie mtu kilinipagawisha kinoma noma. Sikuamini macho yangu nilichokuwa nakiona kwa muda huo.Okay. Samahani, Siku hizi hawachapishi majina kwenye mkeka wa jumla?
Well 👍🏽Majina kuyaona ni kama kawaida
Kilichobadilika ni hilo swala la barua ya kazi utaipata kweny acc yako,that's all
Aisee 😅Majina kwenye mkeka yapo kama kawaida na kwenye app unapata barua. Kwa mfano Mimi nilianza kuona barua kwenye acc ndio nikaja kuona jina kwenye mkeka wa jumla. Ila kitendo cha kuona barua asikwambie mtu kilinipagawisha kinoma noma. Sikuamini macho yangu nilichokuwa nakiona kwa muda huo.
Sawa basi kwangu haifunguki labda tatizo SimuAjira portal
Ndio hivyo mzee , fkiria unapata barua ya kulambishwa asali halafu mbele yako amekaa supervisor wako wa wakati huo.Aisee 😅
aaahh mie watakua wanashangaa tu kila siku vitu vya ofisi vinapotea.sio kwa mziki huu..🤣🤣🤣🤣ukishalamba asali tu utasahau mateso yote nakwambia,asali tamuu weweeeee oh
Halafu supervisor mnoko😁Ndio hivyo mzee , fkiria unapata barua ya kulambishwa asali halafu mbele yako amekaa supervisor wako wa wakati huo.
Ajira portalHiyo app jina lake inaitwaje?
Alafu hawa supervisor wa sekta binafsi wanajionaga miungu. Siku nikilamba asali naondoka bila ku resignNdio hivyo mzee , fkiria unapata barua ya kulambishwa asali halafu mbele yako amekaa supervisor wako wa wakati huo.