Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
We oral ulifanya tareh ngap mwez gan?Hata mimi kwenye app status ipo blank, web ndo ipo selected for Oral.
We oral ulifanya tareh ngap mwez gan?Hata mimi kwenye app status ipo blank, web ndo ipo selected for Oral.
Basi apo itakuwa kwao wenyew Psrs kwa waliofanya interview mwisho wa mwezi huu maan mimi nimelogin tu kweny app leo ndo nimekuta ipo SELECTED FOR ORALMkuu ni oral ya tarehe 28 juzi tu, na yako ilianza blank?
Ulifanya ORAL au hatua gan mpak ipo shortlisted?Mimi nimefanya jumatatu iliyopita na sehemu zote yaani web na app status nimeandikiwa "SHORTLISTED".
Vijana tusitishane bure. Kati yetu hakuna anayejua uhalisia wa hili.
Asubuhi njema.
Nilipiga oral direct, kulikuwa hakuna written.Ulifanya ORAL au hatua gan mpak ipo shortlisted?
Watakuwa wao na mifumo yao ndo inashida bhnNilipiga oral direct, kulikuwa hakuna written.
Mimi nadhani ipo hivyo. Tusubiri wao watafanya nini?Watakuwa wao na mifumo yao ndo inashida bhn
Kabisa mkuu ndo kilichobak saiv ni kusubir tuMimi nadhani ipo hivyo. Tusubiri wao watafanya nini?
Kama kada yako ime-base kwenye research basi egemea sana huko katika kujiandaa. Maswali yao yamejikita zaidi kwa application ya taaluma yako.Naomba kuuliza wakuu
Kwamliofanya interview mbalimbali za utumishi Kwa hvi karibu kada mbalimbali hivi Kuna na maswali ya topic ya research wanauliza Kwenye oral? kama hawaulizi nisipoteze MUDa wangu kusoma research
Ooh sawa maana Kuna Uzi nimeona wanachomekaga maswal ya research Kwenye kada mbalimbali hata kama hazipo Kwenye job descriptionKama kada yako ime-base kwenye research basi egemea sana huko katika kujiandaa. Maswali yao yamejikita zaidi kwa application ya taaluma yako.
vipi uko kwema..?Ndo nmerudi home apaaa asee😂😂
Kwemaa Engineer tunasubir Neema ya Munguvipi uko kwema..?
🤣🤣🤣🤣🤣assume umepangiwa mpimbwe
ok subiri hukumu yako kesho..🤣🤣Kwemaa Engineer tunasubir Neema ya Mungu
Aaah wamalizane na sie leo leo itapendeza😂😂nijue nikope nauli kabisa au nitulize komweok subiri hukumu yako kesho..🤣🤣
kumbuka wakikukanda hii unakua umebaki na risasi mbili za kuwaua utumishi.ukiwakosa hizo unarudi kuitafuta received upya.unakua umerudi kwenye default mode🤣🤣Aaah wamalizane na sie leo leo itapendeza😂😂nijue nikope nauli kabisa au nitulize komwe
Andaa suti ya kureport kaziniKwangu kweny web ipo SELECTED FOR ORAL na kweny app pia ipo SELECTED FOR ORAL nilifanyag tareh 13 may
Subiri barua mkuu mchawi ni app yaani ukikuta tofauti jua mkandoIkiwa kwenye app SELECTED FOR oral na web imebaki vile vile "shortlisted" je?
PS:Nilifanya oral tu hakukuwa na written.