Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,858
- 25,063
Imechukua muda sana aiseeaccounting officer ii
Imechukua muda sana aiseeaccounting officer ii
Ni mwendo wa kuvumilia tu.Imechukua muda sana aisee
J.nne naingia kwenye Oral Interview, naamini nitafaulu. Sasa nikisikia muda wa placement ni 3 to 4 months nachokaNi mwendo wa kuvumilia tu.
Inawezekana wote mmefeli. Nakupa mfano mmoja hai. Mwaka 2018 kwenye oral ya ma programmer waliingia watu wa tatu na nafasi zilikuwa sita. Majibu ya kuitwa kazini aliitwa mtu mmoja tu kati ya wale watatu waliofika oral. Maana yake wale wawili walifeli. kwahiyo ilitangazwa kazi upya.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Ukitoka oral ndo utachoka mara dufuu.J.nne naingia kwenye Oral Interview, naamini nitafaulu. Sasa nikisikia muda wa placement ni 3 to 4 months nachoka
Kwanini 😁Ukitoka oral ndo utachoka mara dufuu.
Jiamini na ondoa uwoga. Uwoga wako ndiyo kaburi lako. Ukijibu maswali ya oral usijibu kama umekariri. Ongea kwa confidence Haya kila la kheri. Kazi zipo ila wengi hawajui kaziJ.nne naingia kwenye Oral Interview, naamini nitafaulu. Sasa nikisikia muda wa placement ni 3 to 4 months nachoka
mwezi wa nane placement zitatoka kwa walio faulu tu . budget yenu itaanzia mwezi wa saba Julai 1. Mkifeli wote wataangalia kwenye database. Na kama wa kwenye database hawakidhi vigezo basi watatangaza upya hiyo kaziUkitoka oral ndo utachoka mara dufuu.
Kumbe Hadi mwezi wa nane 😞mwezi wa nane placement zitatoka kwa walio faulu tu . budget yenu itaanzia mwezi wa saba Julai 1. Mkifeli wote wataangalia kwenye database. Na kama wa kwenye database hawakidhi vigezo basi watatangaza upya hiyo kazi
Maswali yatatoka kwenye job description.Jiamini na ondoa uwoga. Uwoga wako ndiyo kaburi lako. Ukijibu maswali ya oral usijibu kama umekariri. Ongea kwa confidence Haya kila la kheri. Kazi zipo ila wengi hawajui kazi
ulitaka mwezi wa ngapi?. Budget yako huko kazini ni ya mwaka 2025/2026. Julai 1 mpaka june 30Duh!
Kumbe Hadi mwezi wa nane 😞
Nilifikiri nitalamba asali kabla mwezi July haujaishaulitaka mwezi wa ngapi?. Budget yako huko kazini ni ya mwaka 2025/2026. Julai 1 mpaka june 30
Inawezekana mlifeli wote mkuu. Oral nayo wanakuwa wame set marks za kufaulu kama hamjafikia hizo marks mnafeli tu. Kama mmefeli wa update nini?Hii ajira ya Must ni yakimchongo. Kam vile hawashirikiani na UTUMISHI.
Kaz zimetangazaa June leo watu wanaitwa kazini.
wakat wengune Kaz zetu za April za Utumishi mpk leo hatuoni Update yeyote
[emoji2][emoji2]
Vumilia.Nilifikiri nitalamba asali kabla mwezi July haujaisha
Duh!Vumilia.
Hizo marks wanazitoaje? Jibu moja lina marks ngapi?mwezi wa nane placement zitatoka kwa walio faulu tu . budget yenu itaanzia mwezi wa saba Julai 1. Mkifeli wote wataangalia kwenye database. Na kama wa kwenye database hawakidhi vigezo basi watatangaza upya hiyo kazi
3 to 4 months sio Standard units, kwako inaweza kuwa tofauti.J.nne naingia kwenye Oral Interview, naamini nitafaulu. Sasa nikisikia muda wa placement ni 3 to 4 months nachoka
😊3 to 4 months sio Standard units, kwako inaweza kuwa tofauti.
Kwa hiyo watakaopata Placement mwezi wa sita nao wanasubiri bajeti mpya ya serikali ?ulitaka mwezi wa ngapi?. Budget yako huko kazini ni ya mwaka 2025/2026. Julai 1 mpaka june 30