Hapana, ondoka kiroho safi tu. Maisha ni mzungukoAlafu hawa supervisor wa sekta binafsi wanajionaga miungu. Siku nikilamba asali naondoka bila ku resign
Hapana, ondoka kiroho safi tu. Maisha ni mzungukoAlafu hawa supervisor wa sekta binafsi wanajionaga miungu. Siku nikilamba asali naondoka bila ku resign
HapanaHalafu supervisor mnoko😁
Kwamba Kuna siku nitarudi hapa?😅Hapana, ondoka kiroho safi tu. Maisha ni mzunguko
Mtahitajiana maeneo mengine. Kwa mfano mimi naweza kusema supervisor wangu amenijenga sana kufikia nilipofikia.Kwamba Kuna siku nitarudi hapa?😅
Supervisor wangu Mimi ni mchawi. Vitendea kazi hanipi, ila staff wapya wanapewa. Siku nikilamba asali huu ****** utanitambuaMtahitajiana maeneo mengine. Kwa mfano mimi naweza kusema supervisor wangu amenijenga sana kufikia nilipofikia.
Be humble mkuuSupervisor wangu Mimi ni mchawi. Vitendea kazi hanipi, ila staff wapya wanapewa. Siku nikilamba asali huu ****** utanitambua
😅😅😅Be humble mkuu
Hata supervisor akiwa mnoko namna gani, just jishushe, hata ukilamba asali muachane kwa amani, hakika utakuwa umemuumiza sana kisaikolojia kuliko ukiondoka kwa shari.
Sawa 😅Hata supervisor akiwa mnoko namna gani, just jishushe, hata ukilamba asali muachane kwa amani, hakika utakuwa umemuumiza sana kisaikolojia kuliko ukiondoka kwa shari.
Mtumishi wa umma unajipanga kuwa mwizi. Kwa tabia hii hauwezi kumsaidia Mh Rais kutekeleza majukumu yake kikamilifu.aaahh mie watakua wanashangaa tu kila siku vitu vya ofisi vinapotea.sio kwa mziki huu..
Niambie na hii inamanisha nini? NOT SHORTLISTEDUtareta ushuhuda watu waelewe mi mwenyewe nilikuwa siamini ila huu ndio ukweli ata usipo pata kwenye taasisi uliyofanyia jua upo data base any day unaenda kureport kituo cha kazi ......
Hujamuelewa. Amesema ataanza kuiba Hapo current office kabla ya ku resignMtumishi wa umma unajipanga kuwa mwizi. Kwa tabia hii hauwezi kumsaidia Mh Rais kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Ndio haipaswi kuwa hivyo. Wizi ni tabia mbaya kwa mtumishiHujamuelewa. Amesema ataanza kuiba Hapo current office kabla ya ku resign
Mkuu PDF ilitoka baada ya siku ngapi?Majina kwenye mkeka yapo kama kawaida na kwenye app unapata barua. Kwa mfano Mimi nilianza kuona barua kwenye acc ndio nikaja kuona jina kwenye mkeka wa jumla. Ila kitendo cha kuona barua asikwambie mtu kilinipagawisha kinoma noma. Sikuamini macho yangu nilichokuwa nakiona kwa muda huo.
Miezi kadhaa hadi nilikuwa nimesahau kama nilifanya oral.Mkuu PDF ilitoka baada ya siku ngapi?
Mmh inategemea na supervisor kakaMtahitajiana maeneo mengine. Kwa mfano mimi naweza kusema supervisor wangu amenijenga sana kufikia nilipofikia.
Binadamu hawafanani, ila tunaambiwa usilipe baya kwa ubaya. Hujasikia ule usemi usema.Mmh inategemea na supervisor kaka
Mkuu yan baada ya kuona barua kwenye account ilichukua miezi ndo PDF ikatoka?Miezi kadhaa hadi nilikuwa nimesahau kama nilifanya oral.
Kijana utapata post kabla ya mwaka wa fedha kuanza. Vuta subira.Mkuu yan baada ya kuona barua kwenye account ilichukua miezi ndo PDF ikatoka?