El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,074
- 6,480
ameen kakaTubarikiwe wote. Na shuhuda zipatikane watu mbalimbali wapate mkate wa kudumu wenye pensheni.
ameen kakaTubarikiwe wote. Na shuhuda zipatikane watu mbalimbali wapate mkate wa kudumu wenye pensheni.
oya wazee hivi inawezekana ukapiga oral ya taasisi serikalini siku ukaitwa kazini mahali popote au ni lazima uitwe na hiyo taasisi ambayo ulifanyia hiyo interview tu
😂😂mimi nilifanya oral ya chuo kimoja hivi aliyeitwa kazini ni mmoja tu wengine wote ola sasa nikawa nawaza labda mpaka hicho chuo kiwe kinatuhitaji tena ndio watachota majina ya wengine tuliobakiKwa hali ilivyo sasa, unaweza kufanya oral ya PURA ukaitwa TEMESA au kinyume chake.
Nahisi ndo hivyo. Utaitwa kwingine ambako kuna nafasi kama hiyo hiyo uliyofanyia interview na sio ambayo taaluma yako inaweza fit.😂😂mimi nilifanya oral ya chuo kimoja hivi aliyeitwa kazini ni mmoja tu wengine wote ola sasa nikawa nawaza labda mpaka hicho chuo kiwe kinatuhitaji tena ndio watachota majina ya wengine tuliobaki
yaani nikajua tunabaki kwa database ya chuo husika
Wewe ni mwalimu ?Nam nazisubir Kwa hamu najua za ualimu ualimu hazkos tutajipenyeza popote
SHizi ajira za TRA hazina transparency kabisa ingawa huwa zinafanyika fasta lakini kuna loopholes nyingi za watu kuingizana ukilinganisha na PSRS.
Wakuu wenye sifa, kila la heri kwenu. Asali flani hii ya kukata na shoka.
Hilo sifahamu mkuu cheki ratibaShukran, ila Nilidandia kwa pembeni boss,
Wale wa instrumentation walio fanya tarehe 31 June written interview wanafanya oral kikanda ama Dodoma?
Usijali hata kaka utapata tu kazi ,shuhuda Mimi mwenyewe niliingia written nane za PSRS lakini zote mikando ,lakini ya Tisa Mungu akasaidia nikaenda oral na hapo Mungu akanipa kibari nikaingia kwenye utumishi wa umma kaka.kikubwa kuomba na kumtanguliza MUNGU tu na kutia juhudi kwenye kujiandaa na hizo saili .bora hata wewe umefika oral
nashkuru kaka kwa kunitia moyo ngoja nikaze buti.Usijali hata kaka utapata tu kazi ,shuhuda Mimi mwenyewe niliingia written nane za PSRS lakini zote mikando ,lakini ya Tisa Mungu akasaidia nikaenda oral na hapo Mungu akanipa kibari nikaingia kwenye utumishi wa umma kaka.kikubwa kuomba na kumtanguliza MUNGU tu na kutia juhudi kwenye kujiandaa na hizo saili .
Ni mwalimu nmemaliza mwaka huuWewe ni mwalimu ?
Safari njemaNi mwalimu nmemaliza mwaka huu
Mwaka huu? Huu mwaka wamegraduate?Ni mwalimu nmemaliza mwaka huu
Ndio 2024 nmechanganyikiwa tuMwaka huu? Huu mwaka wamegraduate?
Mwaka jana 2024?
M sjawah udhuria interview yeyot ya utumishi lkn nasema maswali ya kuchagua ni rahisi kuliko face to face maana kwenye ana ana dooh general knowledge na ujanja ujanja wa mitandaoni unasaidiaKati ya oral na written ni wap kuna mkando zaidi
Nadhani database huwa ni kwa kada, sio mwajiri, unless kada yenu muwe mna mwajiri mmoja peke yake😂😂mimi nilifanya oral ya chuo kimoja hivi aliyeitwa kazini ni mmoja tu wengine wote ola sasa nikawa nawaza labda mpaka hicho chuo kiwe kinatuhitaji tena ndio watachota majina ya wengine tuliobaki
yaani nikajua tunabaki kwa database ya chuo husika
Ukiweza kutoboa Written kuna asilimia nyingi za kutoboa Oral, Written za utumishi zinahitaji maandalizi ya kutosha, lkn unapoingia kwenye Oral interview za Utumishi wale wasimamizi wenyewe wanakwambia jitahidi kuongea ndani ya Panel, cha msingi katika Oral kuna vitu vingi wasimamizi wa interview huwa wanavizingatia na vinaweza kukubeba hata kama ikiwa ulijibu maswali kwa kubabaisha. Kuna ndugu zetu wanapambana na written mpaka leo ili waingie kwenye Oral lkn bado ni mtihani mkubwa sana, cha msingi ni kujiandaa kwa muda mrefu pitia kila kitu ulichosoma darasani, fanya maombi kwa hali ya juu, amka usiku fanya ibada, na silaha nyingine muhimu unapoingia kwenye Oral Interview aisee vunja kabati kabisa, vaa kiofisi pendeza hapa kuna siri kubwa sana imefichwa. Msikate tamaa muendelee kupambana kwa wale ambao bado mnapambania kombe, siku yenu ya kupata itafika na mtafanikiwa kuingia katika Utumishi wa Umma, cha msingi ni kuutumia muda vizuri kwa kufanya maandalizi ya kutosha, pasipo kusahau maombi kwa Mwenyezi Mungu kwani Mwenyezi Mungu huwa anampa kila anayemuomba.Kati ya oral na written ni wap kuna mkando zaidi
Mkuu kwenye oral unaweza vaa form six yan t-shirt yenye kola au lazma sharti mikono mirefu? Maana SISI wengine wafup weus wanene masharti hayatukaiUkiweza kutoboa Written kuna asilimia nyingi za kutoboa Oral, Written za utumishi zinahitaji maandalizi ya kutosha, lkn unapoingia kwenye Oral interview za Utumishi wale wasimamizi wenyewe wanakwambia jitahidi kuongea ndani ya Panel, cha msingi katika Oral kuna vitu vingi wasimamizi wa interview huwa wanavizingatia na vinaweza kukubeba hata kama ikiwa ulijibu maswali kwa kubabaisha. Kuna ndugu zetu wanapambana na written mpaka leo ili waingie kwenye Oral lkn bado ni mtihani mkubwa sana, cha msingi ni kujiandaa kwa muda mrefu pitia kila kitu ulichosoma darasani, fanya maombi kwa hali ya juu, amka usiku fanya ibada, na silaha nyingine muhimu unapoingia kwenye Oral Interview aisee vunja kabati kabisa, vaa kiofisi pendeza hapa kuna siri kubwa sana imefichwa. Msikate tamaa muendelee kupambana kwa wale ambao bado mnapambania kombe, siku yenu ya kupata itafika na mtafanikiwa kuingia katika Utumishi wa Umma, cha msingi ni kuutumia muda vizuri kwa kufanya maandalizi ya kutosha, pasipo kusahau maombi kwa Mwenyezi Mungu kwani Mwenyezi Mungu huwa anampa kila anayemuomba.