Yani zile nafasi 45,000 naona zinaenda kuishia bila kada zetu wenginewalimu wakati wenu huu utumishi wamemwaga ajira tena uko
Yani zile nafasi 45,000 naona zinaenda kuishia bila kada zetu wenginewalimu wakati wenu huu utumishi wamemwaga ajira tena uko
hahah watakua wamemaindi.ila wataebdelea kutukamata kwenye written kama tukipangiwa kule..Kwahiyo Wale bodaboda wa kule UDOM wamepoteza wateja.
Zile waalimu ni 10k tu mkuu na neema ilitangazwa kwao wataanza na wote waliokuwa kwenye database wote wakiisha ndiyo wapya tukiassume na kada ya afya 9k zinazobaki ndiyo kada nyingineYani zile nafasi 45,000 naona zinaenda kuishia bila kada zetu wengine
Hayaa tena hili jengo liko maeneo gan dodom palesasa hivi tutakua tunakandwa gorofa ya nane uko.Yaani mtu unapanda lifti kuufata mkando.. 🙌
View attachment 3357083
liko kule ofisi za ERB kwa mbeleHayaa tena hili jengo liko maeneo gan dodom pale
Kupambana haswaZile waalimu ni 10k tu mkuu na neema ilitangazwa kwao wataanza na wote waliokuwa kwenye database wote wakiisha ndiyo wapya tukiassume na kada ya afya 9k zinazobaki ndiyo kada nyingine
Kwa hiyo ondoa shaka mwaka huu wengi watalamba asali ila ndiyo kupambana
Ooowk nshapapata hapoliko kule ofisi za ERB kwa mbele
ok. kwaiyo hapo ndio centre mpya ya kichapo sasa usije sema hukuambiwa🤣 🤣Ooowk nshapapata hapo
Mtakuwa mnafanyia usaili sehemu nzuri sana kwa sasa inaonekana kuliko kule Asha Migirook. kwaiyo hapo ndio centre mpya ya kichapo sasa usije sema hukuambiwa🤣 🤣
Ukishapata Placement kuna uhakika ?Uzi mrefu kwelikweli,huu kuisha ni ngumu labda wote tupate placements
Written ya motoM sjawah udhuria interview yeyot ya utumishi lkn nasema maswali ya kuchagua ni rahisi kuliko face to face maana kwenye ana ana dooh general knowledge na ujanja ujanja wa mitandaoni unasaidia
Oral mana muulizaji yuko hapo hapo anasubiri jibuKati ya oral na written ni wap kuna mkando zaidi
Usitegemee taarifa za kwenye account yako tu wakati mwingine mabadiliko ya venue huwa wanayaweka kwenye page yao utumishi uwe unapitia kotekote mkuu usije ukapoteza nafasiJaman wale nactvet vipi mmeshapangiwa vituo kwa ajili ya written ?? Maana mimi nanona kwenye account yangu hamna mabadiliko yeyeto
Duuuh hii ni balaa, naona sasa hivi utumishi pepa zao za moto balaa ni lazima ukaze kweli kama unaenda kufanya UE, bila hivyo kupata single digit ni kuokota tuNdugu wakandaji kuweni basi na huruma. Yaani practical watu 42 wote mnawala kichwa. Kuweni na moyo wa kibinadamu, prac zenu legezeni kamba. View attachment 3357581
Na amekukazia macho balaaOral mana muulizaji yuko hapo hapo anasubiri jibu
Mimi wameweka taarifa nitafanyia hapa hapa mkoani nilipo....Jaman wale nactvet vipi mmeshapangiwa vituo kwa ajili ya written ?? Maana mimi nanona kwenye account yangu hamna mabadiliko yeyeto
Boss bora huku kwetu .hao wana wanainterview ngumu balaa.Post za madereva ni nyingi utumishi waliosomea udereva Bata sana haipiti week post inatoka