msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 299
- 408
Wameandika kikanda bro..hakuna oral ya kimkoaSio kikandq ni kimkoa
Wameandika kikanda bro..hakuna oral ya kimkoaSio kikandq ni kimkoa
Mbona daah mkuuDaah mkuu
Bila shaka umedandia treni kwa mbeleWameandika kikanda bro..hakuna oral ya kimkoa
Shukran, ila Nilidandia kwa pembeni boss,Bila shaka umedandia treni kwa mbele
Huyo mdau hapo juu aliongelea admission officer NACTVET
Nikamtag yeye kwamba written nk online inafanyika kimkoa
Na oral yake ni ofisi za NACTVET Dar es salaam
Pole kwa kudandia treni kwa mbele
Kama una swali karibu
Ilikua ni ya kada gani? Na mmefanya kikanda au dodoma?Nimetoka kukandwa oral yangu ya kwanza ,nime jitetea niwezavyo maswal yote hayakuwa ya darasani bali niya mtu alie kazini tayari, experience based
Kua na imani utashindaNimetoka kukandwa oral yangu ya kwanza ,nime jitetea niwezavyo maswal yote hayakuwa ya darasani bali niya mtu alie kazini tayari, experience based
land officer Dodoma, kikanda zina fanyika sio kada zote zingatia account yako ya ajira portal ilipo kuelekeza maana wanao fanyia kanda account zao zime waelekeza ukoIlikua ni ya kada gani? Na mmefanya kikanda au dodoma?
AmenKua na imani utashinda
Nafasi ni ngapi na oral mliitwa wangapi?Nimetoka kukandwa oral yangu ya kwanza ,nime jitetea niwezavyo maswal yote hayakuwa ya darasani bali niya mtu alie kazini tayari, experience based
Nafasi 10 ,watu 159Nafasi ni ngapi na oral mliitwa wangapi?
Kuna kitu kinaitwa neema ya Mungu, yaani kupewa usichostahili kwa sababu ya huruma na Upendo wa yeye anayekupa!
Nakuombea kwa Mungu aliye hai! Neema yake iwe pamoja nawe na ukapate kazi hii
Utapata MkuuNafasi 10 ,watu 159
bora hata wewe umefika oralNimetoka kukandwa oral yangu ya kwanza ,nime jitetea niwezavyo maswal yote hayakuwa ya darasani bali niya mtu alie kazini tayari, experience based
kiongozi kwani hujawahi kufika oral?bora hata wewe umefika oral
Mmh mie sijafika piakiongozi kwani hujawahi kufika oral?
amna nimeshawahi nilikua namwambia jamaa bora yeye kefika orai wengine majuzi tuliishia writtenkiongozi kwani hujawahi kufika oral?
amna nimeshawahi nilikua namwambia jamaa bora yeye kefika orai wengine majuzi tuliishia writtenkiongozi kwani hujawahi kufika oral?
Inabidi mwezi huu ama ujao utafute mrithi wa uwakilishi wako. Pokea Placement na Mungu akubariki kwa juhudi na saili ulizofanya/utakazoenda kuzifanya hivi karibuni.amna nimeshawahi nilikua namwambia jamaa bora yeye kefika orai wengine majuzi tuliishia written
dah nashukuru sana ndugu yangu.mungu akubarikiInabidi mwezi huu ama ujao utafute mrithi wa uwakilishi wako. Pokea Placement na Mungu akubariki kwa juhudi na saili ulizofanya/utakazoenda kuzifanya hivi karibuni.
Alikuwepo mfwende sawadogo et al akapita.
Hii zamu nawe ufikiwe. Ikawe heri!
Tubarikiwe wote. Na shuhuda zipatikane watu mbalimbali wapate mkate wa kudumu wenye pensheni.dah nashukuru sana ndugu yangu.mungu akubariki