John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,244
- 16,406
NA kipya kinakuwepo pia au?kile cha zamani huwa kinabaki hakifutiki lakini haina shida..
NA kipya kinakuwepo pia au?kile cha zamani huwa kinabaki hakifutiki lakini haina shida..
yah vyote vinakuepoNA kipya kinakuwepo pia au?
BadoRatiba ya sehem imeshatoka ama Bado
Doh asante sanayah vyote vinakuepo
yah vyote vinakuepo
Cha zamani kinaondoka/kinafutika kinabaki kipya ulichokiweka.NA kipya kinakuwepo pia au?
mie vya academic naona vipo hadi vya zamani.hivi vingine ndo naona vimebadilikaCha zamani kinaondoka/kinafutika kinabaki kipya ulichokiweka.
Mara nyingi inatumia muda mrefu mpaka kuja kuona hicho kipya, hvy ukibadilisha na kuangalia muda huo huo utaona bado kipo cha zamani ila baada ya muda fulani ndani ya siku hy hy ukija kuangalia utakuta kimebaki kicho kipya.
Maana Cha form four nilikua nmeweka kopi imechoka balaa maana nilibak na kopi hyohyo original kilipotea lkn nmepata cheti mbadala hivo nataka niscan niprint nigonge muhuri wa mwanasheria niweke hiki mbadala na chakuzaliwa kina muhuri wa rita tu wa online sio mwanasheria nazan linaweza kuwa tatizo baadae hivo nataka nikagonge tu muhuri wa mwanasheria napo kweny Cha kuzaliwa hili niwe salama bila mashakaCha zamani kinaondoka/kinafutika kinabaki kipya ulichokiweka.
Mara nyingi inatumia muda mrefu mpaka kuja kuona hicho kipya, hvy ukibadilisha na kuangalia muda huo huo utaona bado kipo cha zamani ila baada ya muda fulani ndani ya siku hy hy ukija kuangalia utakuta kimebaki kicho kipya.
Kuna mwajiriwa ana two options
1. Kwenda kufanya kazi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya kitengo cha manunuzi
2. Kwenda kufanya kazi wizarani katika kitengo hicho hicho cha manunuzi.
Kwa uzoefu wako ungemshauri achague kwenda wapi kwenye manufaa zaidi ?
Kikanda Mkuu
Kulingana na tangazo lao watu wa Tanga usaili wa mahojiano wanafanyia Arusha, Dodoma wanaenda watu wa Iringa, Morogoro, Singida na Dodoma wenyewe, Over.Jamani, kwa usahili wa mahojiano, wa tarehe 6/06 utakua kikanda kama tangazo la utumishi tarehe 24/06 linavyosema ama utakua Dodoma kama ilivyoandikwa kwenye account ya ajira portal?
Tujurishane ili sisi wa Tanga tujue tunaenda Arusha ama Dodoma mapema wakuu,
Nam nazisubir Kwa hamu najua za ualimu ualimu hazkos tutajipenyeza popoteIzo nafasi zinazotarajiwa kutangazwa za serikali (45,000) zitatoka lini? Maana walisema zitakuwa kabda ya mwaka huu wa fedha kuisha
Anhaa sawasawa,Kulingana na tangazo lao watu wa Tanga usaili wa mahojiano wanafanyia Arusha, Dodoma wanaenda watu wa Iringa, Morogoro, Singida na Dodoma wenyewe, Over.
Mbona zinatoka kila sikuIzo nafasi zinazotarajiwa kutangazwa za serikali (45,000) zitatoka lini? Maana walisema zitakuwa kabda ya mwaka huu wa fedha kuisha
Ndo hzo za halmashaur 😄😄🤭Mbona zinatoka kila siku
1 Watunza kumbukumbu
2 madereva
3 Waandishi waendesha ofisi
Nenda Halmashauri wewe ukajifunze maisha 😀Ndo hzo za halmashaur 😄😄🤭
Ndiyo Mkuu, ndiyo zimo kwenye hizo 45,000 😂😂Ndo hzo za halmashaur 😄😄🤭
Muhuri unaohitajika ajira portal Ni WA mwanasheria.Maana Cha form four nilikua nmeweka kopi imechoka balaa maana nilibak na kopi hyohyo original kilipotea lkn nmepata cheti mbadala hivo nataka niscan niprint nigonge muhuri wa mwanasheria niweke hiki mbadala na chakuzaliwa kina muhuri wa rita tu wa online sio mwanasheria nazan linaweza kuwa tatizo baadae hivo nataka nikagonge tu muhuri wa mwanasheria napo kweny Cha kuzaliwa hili niwe salama bila mashaka
Jaribu Tena bossmie vya academic naona vipo hadi vya zamani.hivi vingine ndo naona vimebadilika