ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 492
- 745
Na ikumbukwe kwamba walisema wataanza kuchukua database. So wakimaliza database ndipo watatangaza nafasi zilizosalia.Ndo hzo za halmashaur 😄😄ðŸ¤
Ni hayo tu🥴
Na ikumbukwe kwamba walisema wataanza kuchukua database. So wakimaliza database ndipo watatangaza nafasi zilizosalia.Ndo hzo za halmashaur 😄😄ðŸ¤
Yes. Aje halmashauri ajifunze maishaNenda Halmashauri wewe ukajifunze maisha 😀
Ulikua wa mwisho?Tumemaliza tu kufanya oral leo, wakaanza kubeba meza na milango, majagi, vikombe etc.
Utumishi wamehama mazima pale Asha Rose Migiro.
Hapana, ila nilikaa kumsubiri jamaa alikua mtu wa mwisho.Ulikua wa mwisho?
Best of luck..ukafauluHapana, ila nilikaa kumsubiri jamaa alikua mtu wa mwisho.
Amen!.Best of luck..ukafaulu
kwa hiyo sasa sisi tuliyoambiwa kuwa usahili utakua ofisi za secretariet ya ajira-dodoma itakua siyo migiro si ndio..?Tumemaliza tu kufanya oral leo, wakaanza kubeba meza na milango, majagi, vikombe etc.
Utumishi wamehama mazima pale Asha Rose Migiro.
Yeahh, nadhani watawabidilishia venue kwenda kule waliko hamia.kwa hiyo sasa sisi tuliyoambiwa kuwa usahili utakua ofisi za secretariet ya ajira-dodoma itakua siyo migiro si ndio..?
okYeahh, nadhani watawabidilishia venue kwenda kuliko waliko hamia.
Nyuma ya ukumbi wa chama tawala.
mm ni mwalimu hzo nafas za halmashaur sna vgezo kuombaYes. Aje halmashauri ajifunze maisha
Wameshatoa tangazo kuwa wamehamia ofisi zao mpya.kwa hiyo sasa sisi tuliyoambiwa kuwa usahili utakua ofisi za secretariet ya ajira-dodoma itakua siyo migiro si ndio..?
dah skuliona hilo tangazo wamelitoa wapi...Wameshatoa tangazo kuwa wamehamia ofisi zao mpya.
ok nimeona tangazo web kuna watu wamebadilishiwa kituoWameshatoa tangazo kuwa wamehamia ofisi zao mpya.
Sio kikandq ni kimkoaKikanda
Hii ni onlineWatu wa admission officers mnafanya wapi saili zenu za written
Af kweliSio kikandq ni kimkoa
🤣🤣🤣kuna mda mpaka mtu unawaza kwenda kwa mganga....
nimelikumbuka hadi boom 🤣🤣🤣🤣🤣