HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna watu wameitwa interview Tarehe 7/5.

MImi not shortlisted sababu sikuweka leseni ya kazi.
Halafu wanapiga oral interview pekee, hakuna cha written wala nini.
Mkuu wapigie simu wapange kwa kila njia iyo ni golden chance weka na hiyo leseni ya kazi...


Kila la kheri.....
 
Back
Top Bottom