Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 320
- 626
Siku ya usahili walisema matokeo yatatoka leoBila shaka tegemea kupata matokeo ya usaili wako siku ya leo ama kesho.
Siku ya usahili walisema matokeo yatatoka leoBila shaka tegemea kupata matokeo ya usaili wako siku ya leo ama kesho.
Pepa linaeleweka ila kwenye Muda wametuibia muda...wengi wanatoka venue hawajamaliza maswali..Kuna watu wa vituo vyengine wanasema ata Ile alert ya muda zimebaki dk ngapi hawajapewa zaidi ya start na pens down.(Na wao pia hawaelew muda umeishaje)Huzuni ya nini tena mkuu wakati pepa umesema linaeleweka
Soon yanatokea mkuuBado mkuu. Na me nilipiga 23
Kak wewe tupo kwenye boti moja mimi nimefanyia mgulani nasubili tu mkeka tukaze salaPepa linaeleweka ila kwenye Muda wametuibia muda...wengi wanatoka venue hawajamaliza maswali..Kuna watu wa vituo vyengine wanasema ata Ile alert ya muda zimebaki dk ngapi hawajapewa zaidi ya start na pens down.(Na wao pia hawaelew muda umeishaje)
Utumishi takataka hawa huwa wanatoa tarehe za kutoa mikeka ? ,hawa wapuuzi wanaofanyisha interview halafu wanasubiri miaka kupata kazi ?Ila nachowakubali utumishi tarehe zao za mkeka wakisema wamesema sio hawa TRA
Nakuombea utoboe kwenye hiiau mnatuonea huruma tusije tukazimia
🤣🤣🤣🤣🤣au mnatuonea huruma tusije tukazimia
Ameen mkuu walisema tareh 28 ngoja tusubiriKak wewe tupo kwenye boti moja mimi nimefanyia mgulani nasubili tu mkeka tukaze sala
Maswal ya multiple choice hayana muda maalumu hata dkk 20 inatosha kbsaPepa linaeleweka ila kwenye Muda wametuibia muda...wengi wanatoka venue hawajamaliza maswali..Kuna watu wa vituo vyengine wanasema ata Ile alert ya muda zimebaki dk ngapi hawajapewa zaidi ya start na pens down.(Na wao pia hawaelew muda umeishaje)
Good preparation na MunguWAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5, 3, 15[emoji23][emoji23][emoji1787] nyie mnao faulu mnafanyaje wakuuu. Nikomae na utendaji wangu *****
Ukimbie uende wapi😂😂😂WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5, 3, 15😂😂🤣 nyie mnao faulu mnafanyaje wakuuu. Nikomae na utendaji wangu *****
Maswali 50 swali moja Lina mistari mitatu adi minne ufanye kwa dakika 20?Maswal ya multiple choice hayana muda maalumu hata dkk 20 inatosha kbsa
Mbna watu wa custom siyaoniHayaa wale wa TRA matokeo yashatoka hukoo,mkachek sasa
Mkuu usikate tamaa kukosa huku ndiyo kukusaidie kujua wapi ulikosea ili urekebishe wakati mwingine nafasi zitakapotokeaWAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5, 3, 15😂😂🤣 nyie mnao faulu mnafanyaje wakuuu. Nikomae na utendaji wangu *****