Hakuna haja ya kwenda stationary wala kuwa na computer/PC, application zote unaweza kumaliza kwa kutumia simu yako ya mkononi.
Download app ya
Microsoft word, Hii utaandika barua ya kila aina, ile ya kwenye computer ndo hii hii kwenye simu yako.
Download app ya
Adobe acrobat, Hii itakusaidia kusoma documents zako.
App za kusoma documents zipo nyingi sana ila binafsi naipenda hii.
Download app ya
Doc Sign, hii utakuwezesha kusign document zako.
Hapa napendekeza uandike sign yako kwenye karatasi nyeupe then ondoa background ili ibaki sign pekee yake halafu hiyo sign ndo utai-paste kwenye hiyo barua.
Download app ya
background erase, Hii itakusaidia kuondoa background ya picha ya karatasi uliyotumia kuweka sign yako.
Muhimu:
Kila kitu hapo unakifanya ukiwa na data zako hata la jero tuu, MBs zingine utatumia kuangalia Xvideos na ukapiga nyeto ili kujipongeza kwa kumaliza kufanya application.
Muhimu:
Kila kitu cha kufanya kwenye ajira Portal unaweza kumaliza kwa kutumia simu yako na bando la buku huku ukiwa unakuna mambupu, kuanzia ku-scan certificates zako mpaka application kuwa received.
Ujambazi:
Hii niliwahi kuandika kwenye uzi wa waalimu kuomba ajira kwenye Ajira Portal baada ya wao kuwa na roho mbaya dhidi ya wanasheria ila nilishauriwa niifute na nikafanya hivyo.
Ila ngoja hapa niandike kwa ufupi 😎 kwa wale wenye kisirani na kulalamika kuwa kupeleka buku tano tano kwa wanasheria ili wapigiwe mihuri kwenye documents zao sio sawa, bc mnaweza kutumia hiyo app ya
background erase na ku-copy mihuri hiyo kutoka kwenye documents za wenzenu na ku-paste kwenye documents zenu ambazo hazina mihuri na mambo yakawa safi.
Muhimu:
Ngoja niwasimange wapambanaji wenzangu, jaribuni kujiongeza wakuu, sio unajua kuingia Instagram na Facebook tuu afu mambo ya msingi hamjui 😎 hii kitu sijafundishwa na mtu ila kwa akili za kawaida tuu unaweza kufanya hili, na huu ugumu wa maisha unaona kwenda stationary kutoa zaidi ya 5000 ili ukamilishe application wakati kwa kutumia simu yako na bando la buku tuu unamaliza kila kitu unaona sio kweli 😂
Muwe na siku njema wapambanaji wenzangu.
©
Mbaga Jr