3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,583
- 16,296
Ila utumishi wangeweka kipengele cha kutoa majibu pia baada ya usaili wa oral ili mtu ajue kafaulu au laa halafu ndiyo ifuatie hiyo ya kuitwa kazini, kuliko huu utaratibu wa kumaliza oral unabaki blind kila siku usubirie kuangalia mikeka inayoachiwa ambayo nayo haina muda maalum kuwa lini inatoka hii inamfanya msailiwa kubaki na mawazo kila siku