HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mke wako anakutesa umeamua kuja kusema huku JF.. Soon utumishi nao wakianza kukutesa utajiita "Utumishi wananitesa" (Jokes) 😅😄😅😄

Karibu kwenye mapambano mkuu🤝
Mm saili Moja tu nafanya naingia kazini nmejiandaa muda mrefu kwaajir ya kuwakanda utumish nitasema siku nikiitwa usaili na ntaleta mrejesho sitafanya Saili mara mbili
 
Hivi unawajua psrs kweli wew
Mkuu nipo jamii forum Toka 2015 nafatilia huu Uzi MUDA sana Nina experience ya kujua mambo madogo madogo kutoka kwa mabraza humu pia nimejiandaa MUDA mrefu sana toka nipo chuo mwaka wa pili Nina maswali kada yangu zaidi ya 3000 aptitude test yapo kichwani, learning theories, communication theories, curriculum DVT, assessment and evaluation, classroom management, teaching methodology na research YOTE ipo kichwani, pia Nina sample 50 za oral questions katka ualimu YOTE yapo kichwani na vlevle unadanganyi chochte kuhusu masomo ya biology na geography hasa kuanzia form 1 Hadi 4 nimejitolea kufundisha Toka mwaka wa pili, HAO UTUMISH NA WAJE
 
Ahsanteee
 
That is courage. Safi sana mkuu, tupo pamoja mpaka tulambe asali.
 
Mkuu nipo jamii forum Toka 2015 nafatilia huu Uzi MUDA sana Nina experience ya kujua mambo madogo madogo kutoka kwa mabraza humu pia nimejiandaa MUDA mrefu sana toka nipo chuo mwaka wa pili Nina maswali kada yangu zaidi ya 3000 aptitude test yapo kichwani, learning theories, communication theories, curriculum DVT, assessment and evaluation, classroom management, teaching methodology na research YOTE ipo kichwani, pia Nina sample 50 za oral questions katka ualimu YOTE yapo kichwani na vlevle unadanganyi chochte kuhusu masomo ya biology na geography hasa kuanzia form 1 Hadi 4 nimejitolea kufundisha Toka mwaka wa pili, HAO UTUMISH NA WAJE
Uko vizuri mkuu, kwani hujawahi kufanya pepa za utumishi ndiyo unasubiria kuitwa kwa mara ya kwanza!?
 
Mkuu nipo jamii forum Toka 2015 nafatilia huu Uzi MUDA sana Nina experience ya kujua mambo madogo madogo kutoka kwa mabraza humu pia nimejiandaa MUDA mrefu sana toka nipo chuo mwaka wa pili Nina maswali kada yangu zaidi ya 3000 aptitude test yapo kichwani, learning theories, communication theories, curriculum DVT, assessment and evaluation, classroom management, teaching methodology na research YOTE ipo kichwani, pia Nina sample 50 za oral questions katka ualimu YOTE yapo kichwani na vlevle unadanganyi chochte kuhusu masomo ya biology na geography hasa kuanzia form 1 Hadi 4 nimejitolea kufundisha Toka mwaka wa pili, HAO UTUMISH NA WAJE
UKo vizuri na umejipanga vema ila pia Ungemtanguliza MUNGU pia katika safari yako uliyoanza ya mapambano ya kusaka fursa ya ajira

Maana kuna wakati uvumilivu na ustahimilivu unahitajika katika hii safari.

Karibu sana kwenye mapambano.
 
Back
Top Bottom