Ah ah Mkuu kwamba unataka kuniambia siku iyo watu watapiga pushup na kuruka viunzi?Practical - kupimwa afya ya kila kitu
Apa kuna tochii
- kupima utimamu wa mwili
Mbio kuruka viunzi na pushup n.k
N.b usisahau kunyoa
Ilo ni jeshi usu.
Hapana sio kwamba siamini lakini sikufikiria kama Kuna mazoezi nilijua ni kupima afya tuuHuamini au akienda mmoja atakwambia na Kuna marks zake.
Account officer II tupeane hints za interviewYeah mkuu nimeangalia kwenye account yangu nimekuwa shortlisted, niliomba account officer II
Kupima afya tu,amna mazoeziAmbao washaenda practical interview za TFS naomba abc ,maana nmeona wameandika practical interview (kufanya vipimo) kwamba ni kupima afya tu ambao kuna mtihanii tena .. ahsanteni
Hiyo "Naniliuu" ndiyo nini kiongoziKupima afya tu,amna mazoezi
Watapima sukari,
Urefu,
HIV,
Na kukagua mwili for tatoos,
Makovu makubwa,
Mishono,
Na naniliuu,
Viunzi wamefanya forest guard tu
NyaaHiyo "Naniliuu" ndiyo nini kiongozi
Em nichek Dm Engineeraisee hizi received si mchezo
Daaa kudhalilishana sasaNyaa
Ni kupima afya tu in general, practical wanazo madereva na Forest guards nazani, lakini wengine wote ni vipimo vya afya including kupigwa tochi.Ambao washaenda practical interview za TFS naomba abc ,maana nmeona wameandika practical interview (kufanya vipimo) kwamba ni kupima afya tu ambao kuna mtihanii tena .. ahsanteni
Hizi za mda huwa ni online maana ni wachache sanaWakuu mwenye fununu kuhusu usail unaonza alhamis kuwa utakuwa ni online au kuandika wenye hard copy kuanzia hizi za afisa hesabu na H.R???
Ndugu yenu nimeshafanya usaili wa written. Najipanga na practical. Endeeni kuniombea.Tayari ndugu yenu nimetua maeneo ya Tunduma, tayari kuelekea Jiji la Mbeya kujiandaa kwa usaili.
Tunakuombea kaka .. kipindi hiki hauvuki border tena.Ndugu yenu nimeshafanya usaili wa written. Najipanga na practical. Endeeni kuniombea.
Kwamba watu ni wachache waliokuwa shortlisted mkuu?Hizi za mda huwa ni online maana ni wachache sana
Pepa ilikuaje?Ndugu yenu nimeshafanya usaili wa written. Najipanga na practical. Endeeni kuniombea.