Wengi wao hawapelekwi shuleHizi ajira za walimu zinazotoka mtu akipangwa Wizara ya Elimu anaenda kufundisha shule gani?
Kuna dogo yeye hajapangwa halmashauri bali wameandika tu Wizara ya Elimu.
Msaada kwa anayejua.
Hii kitu nimeikuta pia ,hawajaweka interview number Wala venue,wenye ujuzi na hili watusaidieWakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
TPDF vp?Habari,
Hii ipo sawa salary za ICTO 2?
1. TPDC==I don't know
2. TCRA==2.0m
4. Ngorongoro==1.8m
3. Ewura==I don't know
4. WCF==2.0m
5. TBS==I don't know
5. TANAPA==1.8m
5. Tume ya madini==I don't know
6. Mamlaka ya chakula na dawa==I don't know
7. SSRA==2.0m
8. NSSF/PSSS==I don't know
9. BOT==I don't know
9. Bunge==I don't know
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali==I don't know
10. TASAC==1.5m
10. TRA==2.5m
11. MSD==I don't know
11. TAKUKURU==I don't know
11. EGA==2.61m
12. NHIF==1.6m
13. TPA==1.6m
13. TIC==I don't know
Wanazingua Sana mkuu. yapata Mwezi na week 1 sasa bila taasisi mbalimbali za ummaKha!! Psrs inatosha Sasa kwa walimu jamani.
Na sisi wa taasisi mbalimbali watukumbuke jamani.
Ameen mkuu tunakuombea 🙏Kabisa mkuu. Tuombeane kheri
Kwamba hayo magroup yanakuwa yanajadili nn mpaka nawe uwekwe?Kaongezen received huko wakuu zimemwagwa tena. Pia naomba mtu ambaye yupo kwenye magroup ya HR & ADMINISTRATION naomba number yake pm an add kwenye hayo ma group
Mimi naanza na chuo.....automatically ukitaja chuo wanajua izo level zingine ushapitia tu tayari...na mind you kama post inahitaji degree relevant information wanazotaka ni kuhus degree yako na jinsi gani itafit na hiyo post.Wakuu naomba kujua kwenye Usahili wa mahojiano kwenye kipengele cha kujielezea hasa upande wa elimu, inabidi uanzie ngazi ipi msingi hadi chuo au advance hadi chuo au chuo pekeyake tuu?
MKuu nimeku tag mahali sijaona reply yakoWapambanaji bila shaka mnaendelea kuongeza received na kuhudhuria mikando kama ilivyo ada hadi kieleweke
1. Primary, secondary, chuo, na current job unayofanya kwa Sasa( kama hamna kazi unayo fanya sema nipo tu nyumbani kwa kazi za kawaida) , bila kusahau location ulipo..Wakuu naomba kujua kwenye Usahili wa mahojiano kwenye kipengele cha kujielezea hasa upande wa elimu, inabidi uanzie ngazi ipi msingi hadi chuo au advance hadi chuo au chuo pekeyake tuu?
Ngoja niitafute hiyo tagMKuu nimeku tag mahali sijaona reply yako
Hello Ndugu wa Jf.
Kuna Pdf ya nafasi za Ajira Muhas imetoka leo lakini imesema barua iandikwe kwenda kwa Deputy Vice chancelor wa chuo badala katibu mkuu psrs kama ilivyo zoeleka.
Naomba kufahamishwa hii ajira inakuwa ni ya serikali au ni ya chuo ? Je ni permanent ?
Atakae pata atatambulika kama mwajiriwa wa serikali au wa Chuo ?
Mwifwa
Leonce jr
makutupora
No SQL
MamaSamia2025
Jumah JR Kalikenye_91
Ya serikali...pale upande wa kushoto kwenye address ya mwajiri unabadilisha unaandika hyo waliokupa...
Usiandike ile ya katibu wa psrs
Tayari ushajibiwa hapo mkuuMkuu tafuta tangazo husika nenda ajira portal updates kule wanakoweka matangazo download Tangazo zima lipitie kipengele kimoja baada ya kingine. Hakikisha unapitia lote kuepuka kukosea mkuu Anuan hipo umo kwenye tangazo ndio inakuwa sahihi usiangalizie kwa mwenzio. Follow instructions
aione kwenye jarada
Mwifwa
AsanteTayari ushajibiwa hapo mkuu
Balaa mzee.aisee hizi received si mchezo