HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Utata Mtupu Utumishi...
Interview kuita nako shida inaenda Mwaka
Kutoa Database watu mtaani nako Shida
Mbona mnatupa wakati mgumu vijana wenu
Bado tu hamjaridhika kuingiza watoto wenu...
 
nafasi moja interview inachukua miezi nane watu wanasubirishwa lakini cha kushangaza nafasi za tpdc kipindi kile watu walilamba asali bila hata manundu..
 
hivi wazee ukiwa unaaply tin number online kwaajili ya ajira ukifika hapa unajaza vipi
 
Attachments

  • Screenshot (24).png
    Screenshot (24).png
    14.3 KB · Views: 28
kada ya afya wanatangaza kazi daily hawanaga database au ndo walishaisha wote
 
Naomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)

Ni kweli???
 
Duu kwani wameita ndugu??
 
Back
Top Bottom