wajiandae kuliwa vichwaWazee wa usahili shimo limetema huko
. Jitahidi kutumia herufi vizuri,Mwenye maswari ya posble ya interview hata yaliyopita naomba msaada
Njoo Dm nikuunganishe na jamaa aliefanyaga huo usaili,Aliewahi kufanya interview ya forest guard,naomba muongozo
Hivyo havikwepeki mkuu lazima viwepo ni kulia na kusaga menoMliokuwa mnalilia kuitwa interview shimo limetema mjiandae vilio visiwe vingi
Mkuu samahani kidogo,,Interview wote mnaenda kufanyia Dodoma au kila mtu kapangiwa mkoa aliombea ??Mliokuwa mnalilia kuitwa interview shimo limetema mjiandae vilio visiwe vingi
Bado kozi nying tu tunaendelea kusubiriSISI WA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII TUENDELEE KUSUBIRII 😂
Siku MDA na LGA wakitoa za Ustawi wa Jamiii na Maendeo ya jamiiBado kozi nying tu tunaendelea kusubiri
Utaratibu Kwasasa hivi interview nyingi zinafanyika online hivyo inatoafursa kufanyia mkoa ulioweka address yakoMkuu samahani kidogo,,Interview wote mnaenda kufanyia Dodoma au kila mtu kapangiwa mkoa aliombea ??
Ni heri hivyo vilio kuliko kuwa na stress na kitu ambacho hujui kitatokea liniMliokuwa mnalilia kuitwa interview shimo limetema mjiandae vilio visiwe vingi
MDa and LGA wamekuwa wakitoa majina kwa baadhi ya kada na kuwafanyisha usahili, kwenye mkeka huu afisa hesabu wenye CPA nadhan ndo walioitwa kwanza, endelea kuwa na subira kama umeitwa au lah lazima utaona mabadiliko kwenye akaunti yakoMkeka wa LGA na MDA umetoka na niliapply kwenye mkeka simo na kwenye account yangu ya ajira portal bado imeandika '' received', kwani siku hizi hawatoi sababu ya kuto-shortlist mtu?? Niliomba afisa hesabu II
Mkuu nipo kwenye chapter nyingine baada ya kutoka chapter hii.
Utapata nafasi, upo tu kwenye foleni kama ulivyoona waliofanya Oral September wameanza kuchukuliwa.Wakuu nina swali moja hivi kuna anayejua vigezo wanavyotumia utumishi kumpa placement mtu aliyeingia oral.
Je aliyewahi kuingia database ndio ataanza kupata placements au laa?
Mfano mwezi september nilifanya interview za MDA & LGA sikupenya oral nikalambwa NOT SELECTED zile za kada ya afya.
Baadae nikaja kufanya interview ya taasisi moja ya chuo mwezi december kwa kada yangu ambapo walitaka mtu mmoja tu oral tukaingia 12 hivi.
Mkeka wa placement ukatoka mwezi february akachukuliwa huyo mmoja nikabaki na Selected For Oral kwa akaunti yangu.
SASA IKO HIVI KILA SIKU KWENYE HIZI PDF ZA PLACEMENTS ZA WALIMU NAONA NA WATU WA KADA YANGU WAKICHUKULIWA
Ila ni wale waliofanya interview mwezi september sasa najiuliza na mimi nawez bebwa au kwa kuwa mimi interview ya oral haikuwa ya MDA & LGA ndio maana siwezi pata placement