Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,216
- 5,288
Kwanini mkuu. Vip wana issue ganiHao majamaa ni matapeli
Kwanini mkuu. Vip wana issue ganiHao majamaa ni matapeli
Kivipi mkuu fafanua coz nimeshuhudia watu walionufaika na hiyo TaesaHao majamaa ni matapeli
Uwe unarudià rudia kila wakati itakubali tu,usiwe na harakqWakuu msaada anajua kujisajili mfumo wa TAESA naona kwangu unanigomea hallo
Ameachiliwa Jana kwa dhamana ... Kosa ni kuanzisha umoja au chama kisichokuwa na usajilinaskia wazee neto wamenza kudakwa mmoja mmoja na mapolisi.
kwahiyo walitakiwa wajisajili 🤣 🤣 🤣Ameachiliwa Jana kwa dhamana ... Kosa ni kuanzisha umoja au chama kisichokuwa na usajili
Ndio mkuu 🤣kwahiyo walitakiwa wajisajili 🤣 🤣 🤣
dah hii nchi tutafika tumechokaNdio mkuu 🤣
Mkuu hiyo ilofutwa unayo? kwa faida ya tusiyoionawamejishtukia wamefuta moja
sikukadownloa kalikua kafupi kama hako sjui walikatoa mara 2Mkuu hiyo ilofutwa unayo? kwa faida ya tusiyoiona
Wametoa kitu cha ajabuDaah siku ya Tano bila PDF walichokuja kukitoa sasa duuh.
Duuh wapuuzi Sana kimya chote hicho tukajua wanakuja na jamvi la maanasikukadownloa kalikua kafupi kama hako sjui walikatoa mara 2
Wapuuz San Hawa jamaaWametoa kitu cha ajabu
Yani wiki inakaribia kukata lakini wanaleta mambo ya ajabuWapuuz San Hawa jamaa
Hao jamaa ukiwapa dhamana lazima ufe kwa stressYani wiki inakaribia kukata lakini wanaleta mambo ya ajabu