kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,293
I agree mkuuHakuna watu wanafki kama panelist
Nakumbuka nilipomaliza kumwaga vitu mule ndani wakati natoka yule katibu ambae ndie alikuwa anatuita kuingia interview room alinambia hongera kijana mimi ndio HR wa hapa umetokea wapi...Nikamjibu kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana, akanambia ukipata kazi tutaonana ofisini kwangu
Nikahisi lolote linaweza tokea matokeo yake pdf la placement limetoka nimeliwa kichwa so far waliyemchukua ndie alituongozea written so panelist walikuwa fair tu kumpa yule kazi maana kwa written mm nilikuw mtu wa 3