Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Ss huyo anaesaini kapotelea wapi tena 😅pdf zitakua zinasubiri signature..
Ss huyo anaesaini kapotelea wapi tena 😅pdf zitakua zinasubiri signature..
Au IT alikuwa field,field imeisha kaenda kujiandaa na Sup[emoji1787][emoji1787][emoji1787]alikua anapost pdf ina mpaka majina manne. [emoji1787] [emoji1787]
😂😂😂 Kashazoea kitengo 😂😂😂Ss huyo anaesaini kapotelea wapi tena 😅
Aroo ilikua danganya toto ile 😅😅😂😂😂 Kashazoea kitengo 😂😂😂
😂😂😂😂 Kasi yake ilikuwa kubwa Sana, ngoja tuendelee kuisoma nambaAroo ilikua danganya toto ile 😅😅
Naona ile 1700+ kutoka database imeshakamilika sas wanaanza upya kukusanya nyomi tena database😂😂😂😂 Kasi yake ilikuwa kubwa Sana, ngoja tuendelee kuisoma namba
Imeishaje mapema hh ??Naona ile 1700+ kutoka database imeshakamilika sas wanaanza upya kukusanya nyomi tena database
Chawa hahaaa!Nina jamaa Yangu yupo Wizara ya Mifugo makao makuu. Kwa Vikao, Ziara na semina ambazo anapiga ni hatariiiiii. Kuna kimoja aliwahi mpeleka jamaa mmoja ni mdau wa ufugaji walikua wanawalipa kwa dollar.
Haswa akiwa mtaalam akapata hata semina au workshop tatu tu aisee n hatari hatari.
Wizara ya Mifugo Ina semina nyingi na Miradi kibao. Wanasafiri sana nje ya nchi Yani namshauri aende Wizarani.
Cha muhim akifika asiwe mjuaji awe Chawa kabisa asalimie boss wake hata aliona boss anakuja ambebee beg Yani kujishusha tu Ili wamuone ni mtiifu kuanzia hapo ataulamba.
😄😄😄alikua anapost pdf ina mpaka majina manne. 🤣 🤣
Database itakua imekwisha mkuu 😅😅😫Tumeshaulika wengine....
IT kakaa pembeni kabisa...
Ni kweli kabisa yeye ni mtu wa mwisho lakini tunamkubali👊👊👊Hili suala la kutokuwekwa placement lipo nje ya uwezo wa IT
Duce wametoa za ndanindani nini mtaalamu??? 😄😄😄Wajumbe naulizia maslahi kwenye vyuo vya serikali UDSM, UDOM, SUA, MZUMBE. Ukiondoa salary kuna maokoto mengine kama housing allowance kwa watumishi au pangu pakavu. Nisaidieni kuulizia kwa jamaa zenu.
Mr tutor atakua wamemvutia waya kimya kimya 😅😅Duce wametoa za ndanindani nini mtaalamu??? 😄😄😄
inabidi atuambie wadau wengine wajiongeze 😄😄😄Mr tutor atakua wamemvutia waya kimya kimya 😅😅
Vipi mkuu kuhusu wanyamapori ?HALMASHAURI
1. HR-Ukame mara nyingi anakula viposho kutoka loan officers wa bank wanapoleta fomu za mikopo ya watumishi
2. Muhasibu- asali kidogo kwenye kusaini fomu za wazabuni na wakandarasi. Omba Mungu wa Mwamposa ukifika wasikupange sekondari au zahanati umekwisha.
3. Afisa biashara- asali kidogo ukiwa mjanja na mwenye maneno mengi kwenye kukata leseni za biashara. Ukiwa na mikwala waweza Kula Bure Kwa mamantilie
All the best wakuu
Duh!!hii inshu waitizame kwa jicho la tatu Mama(rais)....Naona ile 1700+ kutoka database imeshakamilika sas wanaanza upya kukusanya nyomi tena database
Kuna siku yako ipo ..