Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
Ataenda vipi wakati tayari ni muajiriwa na nmb tena permanent..........Mwambie dogo aende Wizarani huku private kuna pressure za ajabu sana!! na kufukuzana kazi nje nje.
Ataenda vipi wakati tayari ni muajiriwa na nmb tena permanent..........Mwambie dogo aende Wizarani huku private kuna pressure za ajabu sana!! na kufukuzana kazi nje nje.
Kama NMB ni serikalini akomae tu hukohuko...Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
Nmb haina check numberKama NMB ni serikalini akomae tu hukohuko...
Nadhan tofauti yake na anakotaka kwenda wizarani sio kubwa kihvyo
Na isitoshe Bukoba aliko ni kuzuri saaaana anaweza kwenda wizaran akatupwa sehem za ndani ndani huko akaanza kupakumbuka BK ilihal maokoto yanaelekeana
Aende wizaran kama hapo NMB ajira yake sio ya kiserikali ila kama ni ya serikali akomae tu hukohuko
Maana mshika mawili......
Au mtaka yote kwa pupa🫠
Kama keshapata check namba na akajifanya kwenda kuripot wizaran na akapaacha Bk itamgharimu muda mrefu hadi anapata kibali cha kuhamia wizaran mazima
Mchumi wa wizara (ya mifugo na uvuvi) hawezi kupelekwa "ndanindani" (uswekeni). Huko ndanindani wanapelekwa wenye wizara yao (maafisa uvuvi na maafisa mifugo ambao wako chini ya wizara).Kama NMB ni serikalini akomae tu hukohuko...
Nadhan tofauti yake na anakotaka kwenda wizarani sio kubwa kihvyo
Na isitoshe Bukoba aliko ni kuzuri saaaana anaweza kwenda wizaran akatupwa sehem za ndani ndani huko akaanza kupakumbuka BK ilihal maokoto yanaelekeana
Aende wizaran kama hapo NMB ajira yake sio ya kiserikali ila kama ni ya serikali akomae tu hukohuko
Maana mshika mawili......
Au mtaka yote kwa pupa🫠
Kama keshapata check namba na akajifanya kwenda kuripot wizaran na akapaacha Bk itamgharimu muda mrefu hadi anapata kibali cha kuhamia wizaran mazima
1. Kama anataka kwenda serikalini anatakiwa KUACHA KAZI hapo alipo sasa (NMB).Ataenda vipi wakati tayari ni muajiriwa na nmb tena permanent
Mbn swali lko halieleweki mkuu?Hivi TRA ni permanent and pensionable????
Permanent and PensionableHivi TRA ni permanent and pensionable????
Sasa hapo anajiuliza nn jaman??Nmb haina check number
Nakazia napigilia msumari,Dogo nenda wizarani nenda wizarani,nenda wizarani huko jina lilipotoka placement..........Mwambie dogo aende Wizarani huku private kuna pressure za ajabu sana!! na kufukuzana kazi nje nje.
Ila Si salary inaingia au akiw anatafuta uhamisho salary inasimamishwa kwanza?Kama NMB ni serikalini akomae tu hukohuko...
Nadhan tofauti yake na anakotaka kwenda wizarani sio kubwa kihvyo
Na isitoshe Bukoba aliko ni kuzuri saaaana anaweza kwenda wizaran akatupwa sehem za ndani ndani huko akaanza kupakumbuka BK ilihal maokoto yanaelekeana
Aende wizaran kama hapo NMB ajira yake sio ya kiserikali ila kama ni ya serikali akomae tu hukohuko
Maana mshika mawili......
Au mtaka yote kwa pupa🫠
Kama keshapata check namba na akajifanya kwenda kuripot wizaran na akapaacha Bk itamgharimu muda mrefu hadi anapata kibali cha kuhamia wizaran mazima
Hapo hamna cha kutafuta uhamisho wala nnIla Si salary inaingia au akiw anatafuta uhamisho salary inasimamishwa kwanza?
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Asante Chai ya nini na nini?IT karibu chai...
Namtakia kila la kheri kwenye muelekeo wa moyo wake.Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
Ndugu yangu mwifwa nimekutafuta pmNamtakia kila la kheri kwenye muelekeo wa moyo wake.
Watu wanachagiza tu ila wanajua katibu ndio aloshikilia mpiniHili suala la kutokuwekwa placement lipo nje ya uwezo wa IT
Watambakiza hapo Dodoma HQMchumi wa wizara (ya mifugo na uvuvi) hawezi kupelekwa "ndanindani" (uswekeni). Huko ndanindani wanapelekwa wenye wizara yao (maafisa uvuvi na maafisa mifugo ambao wako chini ya wizara).
Pili, ajira za benki ya NMB sio ajira za serikali, hivyo mtu huyo tajwa hapo juu hawezi kuwa na hiyo "check namba".
Aende Wizaaran haraka sanaa sababu serikalini anaweza pata chance ya kusimamia ishu zake nyingine pia Security ya Kazi ni kubwa tofauti na Private.Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo