HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Duh!!hii inshu waitizame kwa jicho la tatu Mama(rais)....
Waachie pdf la database tupu kama alivyoosema Waziri Mhagama....
Tunazidi kuwaombea mbele ya Mungu Utumishi +Taasisi busara iwepo....
Kwenye placement 6000+
Mkuu zile nafasi zilianza kutoka since ile mwezi wa 4 kidgo kidgo kwenye kila pdf inapotoka sas kusema kwamba mpaka leo bado zipo mmh sidhani maana pdf nyingi zimetoka
 
😂
kila mtu anavutia kwake.. 🤣 🤣
😂😂😂😂 kuna somo kubwa sana hapo nimejifunza.

Hakuna mtu duniani anakuonea huruma labda mama yako na baba yako.
Kuna wengine hata baba na mama hawawaonei huruma😪.

Tunatakiwa kupambania sana future zetu sisi wenyewe.

IT tupia mkeka. 💥💥💥
 
Yani ukiangalia website ya utumishi utadhani wameenda likizo hakuna mtu ofisini[emoji23] hapa kweli kuna haja ya vijana kujua matokeo yao soon after oral alafu huu mchakato wa gizani uendelee baadae.
Hili jambo ni la msingi sana kwa afya ya jobless imagine watu wansbria placement mwaka mzima alf mwisho wa siku unakosa dah sio poa unajipa matumaini lkn ni jambo gumu sana
 
Back
Top Bottom