HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mhhhhhh....
Kupangwa wizarani sio mpaka kubakizwa HQ...
Inakuwa ni bahati ya mtende ukibakizwa...
emoji3.png
emoji3.png
vituo wameshapangiwa tayari wiki iliyopita, so mchumi, mwandishi wa habari,dreva,civil engineer nk wamebaki makao makuu,wa kozi za mifugo wengine wameenda bandarini(Tanga na dar),KIA(kilimanjaro air port)Arusha airport,wengine mipakani (sirari, tunduma na holoholo)wakakusanye maduhuri ya mazao ya mifugo,wengine wametupwa kwenye miradi ya wizara,sema kubaki wizaran hakuna hela huko,unabaki m aangaliana na wakubwa tu,huko mpk uwe na cheo kikubwa na Elimu angalau masters na PhD ndo utaenjoy,safari Zina wenyewe tu,we ni kuandika madokezo tu na kutumwa tumwa,ukipangiwa huku kusimamia miradi ya wizara Kuna maokoto kibao sana,Ila Kama anataka kubaki akiomba watambakiza HQ
 
Ahahahahaha
Basi ahsant kwa kunifungua
Kumbe sio vzr kubak wizaran kwenyew
Bora ukatupwe mkoaaaaaaaaaniiiii
 
Ataenda vipi wakati tayari ni muajiriwa na nmb tena permanent
Kusema kweli, pale NMB ajira zake zipo stable sana! risk level ipo chini sana na sidhani kama kuna utofauti mkubwa na kwenye utumishi wa umma! Ila inategemea interest ya mhusika, maana maisha ni zaidi ya kula kunywa na kuvaa!! Ni kazi ipi anajisikia kuifurahia achilia mbali kipato chake, hicho ni kitu cha maana sana!! Kazi nzuri ni ile unayoifurahia kuifanya, una msukumo ndani yako wa kuifanya kwa moyo wako wote na ukiifanya unajisikia kutosheka na kufurahi!! Hata ukifanya masaa ya ziada hujisikii hasara!!
 
Ahahahahaha
Basi ahsant kwa kunifungua
Kumbe sio vzr kubak wizaran kwenyew
Bora ukatupwe mkoaaaaaaaaaniiiii
Alaf wizara Kama wizara ni Pana sana, headquarter Kuna ofisi ya wazir,naibu waziri,katibu mkuu na wakuu wa idara,Hr,mwasibu mkuu nk,so Kuna idara nyingi wizaran,mfn idara ya masoko,idara ya uzalishaji,so kwenye idara Kuna wakuu wa idara hapo Headquarter,hivyo basi kila idara inawafanya kazi wake,95% ya wafanyakazi wa kila idara wapo mikoani,wakikusanya maduhuli au kusimamia miradi iliyo chini ya wizara,so taarifa na report wanatumia kwenye idara zao.wizara inawafanyakazi wengi sana mikoani,ambao mwajiri wao ni katibu mkuu,ukienda headquarter utawakuta wachache sana.
 
HQ patamu imagine upo jikoni ndio utakosa maokoto?
 
Ila mliopo wizara ya mifugo na uvuvi mmekula shavu aisee, wana miradi mingi sana
 
Kusema kweli, pale NMB ajira zake zipo stable sana! risk level ipo chini sana na sidhani kama kuna utofauti mkubwa na kwenye utumishi wa umma! Ila inategemea interest ya mhusika, maana maisha ni zaidi ya kula kunywa na kuvaa!! Ni kazi ipi anajisikia kuifurahia achilia mbali kipato chake, hicho ni kitu cha maana sana!! Kazi nzuri ni ile unayoifurahia kuifanya, una msukumo ndani yako wa kuifanya kwa moyo wako wote na ukiifanya unajisikia kutosheka na kufurahi!! Hata ukifanya masaa ya ziada hujisikii hasara!!
kazi za benk,Kazi ya kuhesabu hela za watu 😁, aende huko wizarani maana Kuna wazee kibao wamekaribia kustafu so kwa miaka ya mbeleni hawa waajiriwa wapya ndo watakuwa mabosi wa wizarani,kikubwa akapige kazi na kuongeza shule,kumbuka na teuzi nyingi zinatokea wizarani,chache sana halmashauri
 
Back
Top Bottom