Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Acha makasriko yasio na lazima...jobless tunafrhishana maisha yaendeUnakuwa kama sio msomi just speak with the Facts .
Unadhani ni rahisi kwa hilo unaloliwaza
Acha makasriko yasio na lazima...jobless tunafrhishana maisha yaendeUnakuwa kama sio msomi just speak with the Facts .
Unadhani ni rahisi kwa hilo unaloliwaza
😂😂😂Acha makasriko yasio na lazima...jobless tunafrhishana maisha yaende
uwe unaangalia na utani watu wanapreshaAcha makasriko yasio na lazima...jobless tunafrhishana maisha yaende
😅😅 sawa mkuuuwe unaangalia na utani watu wanapresha
Mwamba tuliza munkari, humu wote tunaongea lugha moja, ndomana tupo ambao tayari Mungu ametubariki tumetokea kwenye pdf, lakini bado tupo humu kuwapa faraja jobless, humu kuna jokes nyingi, ilimradi kuwapunguzia wana stress, kuna vibwagizo kibao kama "IT MTU WETU,...#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU....so take it EASY BRO.Unakuwa kama sio msomi just speak with the Facts .
Unadhani ni rahisi kwa hilo unaloliwaza
Masjala ya WAZI naona wanachati tu SIKU HIZI...Hawana kazi KABISA.Watu wanatembea na mawe mkononi wanahasira kinyama[emoji2]
Wale wana pale nje wa Bodaboda, watakua wanalia msoto mkali..hakuna vichwa vya kuvipiga hela nyingi kwenda TOWN...Masjala ya WAZI naona wanachati tu SIKU HIZI...Hawana kazi KABISA.
Mkuu una list ya taasisi hizo zisizo ingiza mapato serikalini? Ama wapi naweza ipata list hiyo?Bado hakuna kitu naona kama huu mzigo umefutwa na ukizingatia DUCE ilitajwa miongoni mwa taasisi zisizoingiza mapato serikalini. Wakuu wote wa taasisi zisizoingiza mapato waliambiwa wakajitafakari kama wanatosha
😳Mkuu una list ya taasisi hizo zisizo ingiza mapato serikalini? Ama wapi naweza ipata list hiyo?
Kinachokufanya ushangae ni kitu Gani mkuu?
Hahaaaaa 😃😃😃😃😃😃 ,ukisikia usemi "wananchi wenye hasira kali " ,ndio hii .Watu wanatembea na mawe mkononi wanahasira kinyama[emoji2]
wabebane wenyeweWale wana pale nje wa Bodaboda, watakua wanalia msoto mkali..hakuna vichwa vya kuvipiga hela nyingi kwenda TOWN...
we mtu anamaliza mwongo mmoja hajashika hata mia unamletea utani si kujitaftia kifo.Hahaaaaa 😃😃😃😃😃😃 ,ukisikia usemi "wananchi wenye hasira kali " ,ndio hii .
Noma sana
Mungu tubariki jobless
Tafuta Ripoti ya CAG, 2022,2023. Ziko taasisi nyingi tu na nyingine zina asali nono lakini ndio hivyo zinatia hasara tuMkuu una list ya taasisi hizo zisizo ingiza mapato serikalini? Ama wapi naweza ipata list hiyo?
Asante mkuuTafuta Ripoti ya CAG, 2022,2023. Ziko taasisi nyingi tu na nyingine zina asali nono lakini ndio hivyo zinatia hasara tu
Aende WizaraniKuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo
Dah!!!!! Tuzidi kuomba sanaaaPSRS PAMENUNA
Job Posts By Categories
- Accounting and Auditing (0)
- Banking, Economics and Financial Services (0)
- Physical & Natural Sciences (0)
- Creative and Design (0)
- CSE (0)
- Education and Training (0)
- Engineering and Construction (0)
- Environmental Sciences and Geography (0)
- Farming and Livestock (0)
- Healthcare and Pharmaceutical (0)
- HR & Administration (0)
- International Relations (0)
- IT and Telecoms (0)
- Legal (0)
- Linguistics (0)
- Manufacturing (0)
- Marketing,Media and Brand (0)
- Procurement & Logistic Management (0)
- Project, Planning and Policy Management (0)
- Religious Studies (0)
- Research,Science and Biotech (0)
- Security (0)
- Sociology, Political Science, Community and Social Development (0)
- Statistics and Mathematics (0)
- Taxation and Social Protection (0)
- Tourism and Travel (0)
- Trades and Services (0)
- Transport and Logistics (0)
- ACSE (0)
- Climate Change (0)
- Driver's (0)
- Land Management (0)
- Water, Mining and Natural Resources (0)
- Agricultural and Natural Resources (0)
Dua Muhimu sana.