HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kazi za benk,Kazi ya kuhesabu hela za watu 😁, aende huko wizarani maana Kuna wazee kibao wamekaribia kustafu so kwa miaka ya mbeleni hawa waajiriwa wapya ndo watakuwa mabosi wa wizarani,kikubwa akapige kazi na kuongeza shule,kumbuka na teuzi nyingi zinatokea wizarani,chache sana halmashauri
..............Huyo dogo akichezea hii nafasi atakuja jilaumu sana baadae.

Analinganisha Bank Officer wa NMB na Mchumi wa wizara, tena wizara ya mifugo!!??
 
..............Huyo dogo akichezea hii nafasi atakuja jilaumu sana baadae.

Analinganisha Bank Officer wa NMB na Mchumi wa wizara, tena wizara ya mifugo!!??
Bora hata angekuwa bank officer wa NMB makao makuu,saiv wa tawi tu,aje wizarani pazuri,mshahara ni wakawaida ila safari kibao sana ,aje apate check namba huku,
 
Hapo HQ kuna watu wanaitwa wakuu wa idara na vitengo. Wakishiba wao wewe junior ndio utakula makombo. Labda pale HQ utumishi kuna maokoto ucheze dili za uhamisho wa walimu na watumishi wa afya.
Sikusudii kula makombo baada ya wakuu wa vitengo kushiba, wale jamaa wana safari nyingi na perdiem nyingi,, mkuu wa kitengo akiwa mzungu maokoto pia yanapatikana.
 
Bora hata angekuwa bank officer wa NMB makao makuu,saiv wa tawi tu,aje wizarani pazuri,mshahara ni wakawaida ila safari kibao sana ,aje apate check namba huku,
Hapo HQ kuna watu wanaitwa wakuu wa idara na vitengo. Wakishiba wao wewe junior ndio utakula makombo. Labda pale HQ utumishi kuna maokoto ucheze dili za uhamisho wa walimu na watumishi wa afya.
Nina jamaa Yangu yupo Wizara ya Mifugo makao makuu. Kwa Vikao, Ziara na semina ambazo anapiga ni hatariiiiii. Kuna kimoja aliwahi mpeleka jamaa mmoja ni mdau wa ufugaji walikua wanawalipa kwa dollar.
Haswa akiwa mtaalam akapata hata semina au workshop tatu tu aisee n hatari hatari.

Wizara ya Mifugo Ina semina nyingi na Miradi kibao. Wanasafiri sana nje ya nchi Yani namshauri aende Wizarani.
Cha muhim akifika asiwe mjuaji awe Chawa kabisa asalimie boss wake hata aliona boss anakuja ambebee beg Yani kujishusha tu Ili wamuone ni mtiifu kuanzia hapo ataulamba.
 
IT karibu tufuturu supu ya mbuzi na kiepe yai huku tunakula muziki mzuri wa ferre Gola āš”āš”āš”šŸŽµšŸŽµšŸŽµšŸŽµšŸŽ¶šŸŽ¶šŸŽŗšŸŽŗšŸŽøšŸ„—šŸ„—šŸ„—šŸ„—
 
⁰
Nmb haina check number
Dogo aende Serikalini aachane na mambo ya target za benk, stress, kufukuzwa ni njenje, plus makesi ya ajabu, niwashauri ndg zangu ukipata Ajira serikalini nenda usijiulize mara mbili acha kulinganisha hao NMB na Serikali maana NMB serikali inahisa ili uendeshaji ni waholanzi hao so wanaweza badilisha mfumo, kwanza bank hamna uhuru
 
Back
Top Bottom