Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Inategemea na ulipoajiriwa, binafsi mm nmepata mshahara wa mwez huu na kaz Bado sijaanza,na mchakato wa ajira umefanyika mwez huuhuu, na nmeomba ruhusa ya wiki2

Inategemea na ulipoajiriwa, binafsi mm nmepata mshahara wa mwez huu na kaz Bado sijaanza,na mchakato wa ajira umefanyika mwez huuhuu, na nmeomba ruhusa ya wiki2, nikapewa.
Unamaanisha kuwa ulipeleka documents zote znazohtajika mwez huu,na mwez huu umeingiziwa mzgo?
 
5339bf5e202b836b4cafdc7b47b78cdd.jpeg
 
Kaka bado cjalamba kaka,ila naona kwa sas wanatoa sana tulipiga tarehe 7 Januar, na siku hiyo ndo ilikuwa oral ya TRA so naamin wameshaanza kugusa database ya TRA japokuwa sina uhakika kaka
Naomba kuuliza...
Hawa database ya TRA unaweza ukawamix vitengo(taasisi) gani nje ya TRA? .....
 
Naona watu wote mmekimbilia Mkeka wa Mama. Huo naona Haunihusu napambana kuhakikisha nasomeka mkeka wa IT. IT Mimi nipo chini ya Miguu yako
 
Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Hongera sana, Mungu akutangulie ukawe mtumishiwema.
 
Wakuu,nna suala kidogo mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa kwenye ajira taasisi X na tumeshapeleka barua za utambulisho kwa mwajiri zaid ya wiki mbili zilizopita tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi.Je kwa kipindi hiki ninaweza kuhesabiwa km mwajiriwa na kuingiziwa maokoto mwisho wa mwezi au ndo mpaka pale nitakapopangiwa kituo cha kazi?Utaratibu ukoje kwa anayefahamu please!🙏
Umejaza mkataba? Huwezi kupata maokoto kabla ya kujaza mkataba
 
Back
Top Bottom