Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
Hata halmashauri sio mbaya champ kwa sisi tulio mtaani hatuna machaguzi zaidi ya kuchagua kitu kimoja jina kutokea kwenye placement issue ya wap au wap hatafikia hyo hali,daah wizara ya kilimo wamekauka sana aiseeh
TFRA
NFRA
ASA
NIRC
TARI NK WOTE WAMEKAUSHA, naziona halmashauri tu
Wengi ukisikia wanachagua sehem utakuta wapo NGO