zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Rita kumefanyaje ???Tehama ina rahisisha mambo mengi sana siku hizi.. japo changamoto zipo.. isije ikawa kama hii ya Rita.
Rita kumefanyaje ???Tehama ina rahisisha mambo mengi sana siku hizi.. japo changamoto zipo.. isije ikawa kama hii ya Rita.
Walikuwa wametuzoesha kila siku pdf usikute tumerudi kule kule kama tulipotoka😁Hola hola hakuna pdf mpaka saizi.... IT haja press button bado
Vipi mkuu zile nafasi hawajazimalizia tu na kwako?Walikuwa wametuzoesha kila siku pdf usikute tumerudi kule kule kama tulipotoka[emoji16]
Bado aisee zimebaki 3 ila sina expectations nazo sanaVipi mkuu zile nafasi hawajazimalizia tu na kwako?
3 direct ni nyingi sana usikate tamaa mkuu pengine kwenye hiyo 3 na jina lako limoBado aisee zimebaki 3 ila sina expectations nazo sana
Nasubiri tangazo lingine au kama database itakuja kufanya kazi huko mbeleni
Acha niendelee kusubiri kwa lolote litakalotokea😅😅3 direct ni nyingi sana usikate tamaa mkuu pengine kwenye hiyo 3 na jina lako limo
IT anaebda slow sana This timeAcha niendelee kusubiri kwa lolote litakalotokea[emoji28][emoji28]
Wamrudishe aliyekuwepo kipindi cha zile pdf double doubleIT anaebda slow sana This time
Kaimu yule ndo alikuwa na balaaWamrudishe aliyekuwepo kipindi cha zile pdf double double
Angepewa ukatibu mambo yangekuwa vizuri sana😁😁Kaimu yule ndo alikuwa na balaa
Yule mwamba alikuwa wa bandua bandika...alikuwa na balaa yule jamaaA
Angepewa ukatibu mambo yangekuwa vizuri sana[emoji16][emoji16]
Kwani nani kathibitisha Kuna mabadiliko ya mtoa pdf?Yule mwamba alikuwa wa bandua bandika...alikuwa na balaa yule jamaa
Kwa kwel mim sina jibu kwa swali hili,pengine mtaalam Makofia360 anaweza kutusaidia hapaNaomba kuuliza...
Hawa database ya TRA unaweza ukawamix vitengo(taasisi) gani nje ya TRA? .....
Nishamaliza mkuu,tumetoka saa 10 na nusu,ulikuwa msumali wa Moto🤣ukienda kichwa kichwa bila kupitia madesa yako waweza omba usepe usipige pepaKila la kheri, Mungu akutangulie ufanye vizuri na akupe haja ya moyo wako.
Ikaqe kheri kaka kada gani mkuu?Nishamaliza mkuu,tumetoka saa 10 na nusu,ulikuwa msumali wa Moto[emoji1787]ukienda kichwa kichwa bila kupitia madesa yako waweza omba usepe usipige pepa
Tunasubiria majibu Sasa[emoji120]