HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kutafuta kazi serikalini kuna maana nyingi.

Kutokuwa na kazi kabisa.

Uko private sector unataka kuhamia government.

Kufuata maslahi binafsi.

Kufanya longterm plan.
 
Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Siku moja.

Nikiwa kazini nakutana na missed call kama 10 hivi na message kama 8.

Simu nilikuwa nimeicha mezani kutokana na kazi yangu ninayoifanya hainiruhusu Sana kutumia simu.

Naenda kwenye sms nakuta jamaa yangu mmoja ameniandikia Hongera Sana.

Sms ya pili ni kadada kamoja nilikutana nacho psrs nacho kananiambia hongera rafiki nimeliina jina lako Moja ya taasisi.

Ninaamua niachane na kusoma sms nijaribu kupiga simu kwa rafiki yangu mmoja aliyelamba asali tayari moja ya taasisi kubwa nchini nakuta simu.inatumika.

Tusichoshane naingia kwenye browser naadika ajira portal na check Majina ya walioitwa kazini siamini macho yangu naona jina langu limeeandika kwa wino mweusi herufi kubwa na barua ikinitaka nikachukue barua siku 14.

Moyo unalipuka na furaha na machozi.

Nikikumbuka mateso na machungu ya kutafuta ajira.

Gharama nilizitumia kwenda dodoma kuna muda nalala kwenye mabar siku moja kabla ya interview.

Aisee...Hii ni story nimejaribu kutunga siku nitakayoajiriwa.

Mm nasubiri kuitwa kazini siku sijui wala mwaka na saa.

Ahsanteni.
Hhhhh wewe jamaa kichwa yako inazidiwa na stress za utumishi. 😂😂
 
[emoji23] wewe nae
 
Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
hongera. karibu katika utumishi wa umma
 
Sawasawa mwamba na iwe hivo.
 
Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Hongera Sana Mkuu
 
Siku moja.

Nikiwa kazini nakutana na missed call kama 10 hivi na message kama 8.

Simu nilikuwa nimeicha mezani kutokana na kazi yangu ninayoifanya hainiruhusu Sana kutumia simu.

Naenda kwenye sms nakuta jamaa yangu mmoja ameniandikia Hongera Sana.

Sms ya pili ni kadada kamoja nilikutana nacho psrs nacho kananiambia hongera rafiki nimeliina jina lako Moja ya taasisi.

Ninaamua niachane na kusoma sms nijaribu kupiga simu kwa rafiki yangu mmoja aliyelamba asali tayari moja ya taasisi kubwa nchini nakuta simu.inatumika.

Tusichoshane naingia kwenye browser naadika ajira portal na check Majina ya walioitwa kazini siamini macho yangu naona jina langu limeeandika kwa wino mweusi herufi kubwa na barua ikinitaka nikachukue barua siku 14.

Moyo unalipuka na furaha na machozi.

Nikikumbuka mateso na machungu ya kutafuta ajira.

Gharama nilizitumia kwenda dodoma kuna muda nalala kwenye mabar siku moja kabla ya interview.

Aisee...Hii ni story nimejaribu kutunga siku nitakayoajiriwa.

Mm nasubiri kuitwa kazini siku sijui wala mwaka na saa.

Ahsanteni.
Siku hiyo utajua ujui

Kwani status inasomekaje sasa hivi mkuu?
 
Wadau wote nadhani mko njema kikubwa kilichopo PSRS kwa sasa ni database na kuna uwezekano hata baadhi ya taasisi ambazo tayari zina received wakachukua database hasa wale ambao wana chance chache chache,,,pia kuna taasisi tamu mno yani tamu mno kuna watu hawatamini! Kwahiyo muendelee kuwa na imani na psrs
 
Back
Top Bottom